Naombeni ushauri: Receiver ipi ni bora na zinapatikana wapi kwa hapa bongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri: Receiver ipi ni bora na zinapatikana wapi kwa hapa bongo?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kelvyn, May 29, 2012.

 1. k

  kelvyn Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu ndugu zangu wanajf!
  Samahani wanajf kwa yeyote mwenye ujuzi na haya masuala ya satelite dishes, receiver na decoder nilikuwa naomba anishauri ipi ni bora na inauwezo wa kuonesha local channels, epl,movies za mbele etc. Nimewahi kununua ya strong hapo siku za nyuma lakini imekuwa ni miyeyusho tu, channels zote nilizokuwa napata sasa hivi zimekuwa scrambled. sa kwa yeyote mwenye utaalamu na masuala haya ya hivi vitu anisaidie... dstv jamani parefu kulipia usd kila mwezi.
  kwa mwenye uelewa na contacts za wapi na ubora wake ulivo pls naomba msaada wako.
  wenu mtiifu

  papaa sukari
  le chocolate d'amour
   
Loading...