Julio Iglesias

changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
Habari zenu

Mi namfagilia sana huyu mwanamuziki aisee anatisha babaake! Nyimbo kama Starry starry night, The last time na Bella bella zinanikuna sana. Kwa mashabiki wake nadhani mtakubaliana nami.
 
Hilo halina ubishi...mara zote huwa naamini hakutatokea wanamuziki watakaowafikia kina Julio Iglesias, Frank Sinatra, Elvis Presley na Michael Jackson kutoka katika wanamuziki wa kizazi hiki cha sasa!
 
Usisahau pia Moonlight Lady, Hey na Me Va Me Va. kabla ya kuwa mwanamuziki alikuwa golikipa wa timu ya mpira wa miguu!
 
Amor.....
Agua Dulce, Agua sala......
Manuela.....
De Nina a mujer.....
........................
 
Hilo halina ubishi...mara zote huwa naamini hakutatokea wanamuziki watakaowafikia kina Julio Iglesias, Frank Sinatra, Elvis Presley na Michael Jackson kutoka katika wanamuziki wa kizazi hiki cha sasa!

yeah na hawa pia:

Peabo Bryson
Loniel Rich
 
Dah! yaani umenikuna hasa nyimbo zake nyingine ni kama Guatanamera, To All girl I have love before, El Amor, Manuela, La Cumparsita, Ae ao, bambolelo, crazy.....
 
Hey
El Amor
Abrazame
Moonlight Lady
To All The Girls I've Loved Before
Manuela
 
Hey
El Amor
Abrazame
Moonlight Lady
To All The Girls I've Loved Before
Manuela

To all the girls i've loved before,
who travelled in and out my door,
I'm glad they came along,i dedicate this song,
To all the girls i've loved before.....

Naipenda sana nyimbo yake hii.....!
 
In the 1960s, he studied law in Madrid and was a goalkeeper for Real Madrid

Studio, live, remastered and compilation main albums
 
Wanamuziki wa zamani wanakubulika,another great ni Demis Rousses na kibao " Goodbye my love goodbye". Demis had truly unique voice and was reffered to as the man with golden voice
 
Kuna 'Fragile' amefanya colabo na mtumzima mwingine...Sting!
 
Yah!! Moonlight Lady imesimama sana pia Bamboleo ni wimbo mzuri pia

Cuando el amor
llega así de esa manera
uno no tiene la culpa
quererse no tiene horarios
ni fecha en el calendario
cuando las ganas se juntan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom