Recent content by kelvito

  1. kelvito

    Nape, Sisi siyo wahuni; Sisi ni Wataka Mabadiliko ndani ya Chama

    Mkuu unataka wanyongwe hadharani?
  2. kelvito

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Hv ilikuwa ukipatia kutabiri unapata zawadi pia?
  3. kelvito

    Lowassa ashinda Ujumbe wa NEC (CCM) Monduli kwa Ushindi wa 99.9%!

    Kauli za kukata tamaa heri fisadi mchapakazi! huu ni ujinga
  4. kelvito

    Edward Lowassa Richmond kuibuliwa 2008 kama si mapenzi ya Mungu Israel na aseme

    Kumbe humu ni magamba wote wacha nitoke
  5. kelvito

    CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

    Mkuu umeamini jf c mchezo eeh
  6. kelvito

    CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

    Nape aweke barua hyo basi bilA hvyo ataku mzushi kama wengine
  7. kelvito

    Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

    Huwa wanayamaliZa hao ugonvi wao si wakuinvilia sana. Naona mwanamke anataka taraka huyu.
  8. kelvito

    Kanisa Katoliki LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA

    mbona bado jk hawezi kujitoa kwa hili mkuu.
  9. kelvito

    Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

    Achana na ugonvi wa mtu na mkewe mkuu, utaumbuka!
  10. kelvito

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    Kweli vichaa ni wengi humpi chakula sababu ya mama yako sasa unampa mama hyo kitu?
  11. kelvito

    CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi!

    Hilo ndo tatizo la ccm ukiwapa tahadhali wanadhani wewe ni chadema huu ni ujinga
  12. kelvito

    Rais Kikwete na mkewe safarini nchini Kenya

    Mkuu wewe unaona si sawa? bado haujamzoea raisi wako? Mi hata akipotelea angani sita shangaa!
  13. kelvito

    Ni wakati wa polisi kuonesha mshikamano

    morogoro polisi 4 wapo upango kwa mauaji
  14. kelvito

    PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

    Huyu mwigulu tupo naye humu kila siku hawezi kusema pumba hizo na kama amesema duu pole mchemba unaua ama chetu.
Back
Top Bottom