Lowassa ashinda Ujumbe wa NEC (CCM) Monduli kwa Ushindi wa 99.9%!

Niulize Mungu na mwanadamu ni yupi anayeichukia dhambi? Watanzania wengi wamekaa mbali na uso wa Mungu na ndio maana wanapenda kuamua mambo watakavyo wao na ukiwauliza wanakwambia lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa lakini nataka kuwakumbusha jambo moja, Mungu akitaka kumuinua mteule wake basi atampitisha katika vikwazo hivi na vile ili mradi amuandae kwa kazi yake fulani. Acheni kazi ya kuhukumu ni ya Mungu mwenyewe, mwacheni Mungu aitwe Mungu Yeye ndio ajuaye mapito yetu.
 
Wanabodi, hii nimeitoa kule Globu ya Jamii!.
MONDAY, OCTOBER 01, 2012
[h=1]MH LOWASSA ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA NAFASI YA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA WILAYA YA MONDULI[/h]

Mh Lowassa akizungumza na kuwashukuru wapiga kura wake waliompatia ushindi wa kishindo

Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,mh. Edward Lowassa akipongezwa mara baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Monduli uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha ualimu Monduli,Mh Lowassa ameshinda kwa kishindo kwa kuwabwaga wapinzani wake kwa idadi ya kura 709,mpinzani mwingine ameta kura 44 na mshindi mwingine aliibuka na kura 7.

Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,mh. Edward Lowassa akipongezwa mara baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Monduli uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha ualimu Monduli,Mh Lowassa ameshinda kwa kishindo kwa kuwabwaga wapinzani wake kwa idadi ya kura 709,mpinzani mwingine amepata kura 44 na mshindi mwingine aliibuka na kura 7.

MY TAKE!.
BAADA YA JK KUMPIGA PANGA MKONO, NILIAMINI SASA JK SIO DHAIFU TENA, HIVYO ANAYEFUATIA NI EDWARD LOWASSA ILI KUMSAFISHIA MEMBE NJIA NYEUPE YA 2015!.

NAKIRI, I WAS WRONG, SIO NILIMU UNDERESTMATE LOWASSA, BALI NILI MUO OVER ESTIMATE JK!.

KWA MATOKEO HAYO, KUBALINI, KATAENI, MSHINDI WA URAIS 2015 NI CCM!, NA RAIS WA 2015 NI EDWARD LOWASSA!.

NB. KUNA BILIONI 400 "SAFETY NET" KWA WAPIGA KURA WA 2015!. BAADA YA KUJENGEWA DARAJA LA KIGAMBONI, MABARABARA YA JUU NA CHINI!, HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU BURE!, SASA FAMILIA MASIKINI ZITAGAWIWA RUZUKU YA KUONDOA UMASIKINI!, 2015 NANI ATATHUBUTU KUIVOTE OUT CCM?, KWA VIGEZO GANI?.

HONGERA LOWASSA!, HONGERA CCM!.

Pasco!.

NB: Naendelea kusisitiza Pasco wa jf, sio mwanachama, mfuasi, wala mshabiki wa chama chochote!. Sasa wale mnaoamini kuwa Pasco wa jf ni mshabiki wa CCM, endeleeni kuamini hivyo, if that will make you happy!.
 
pasco ni sawa na shehe yahaya
 
Wanabodi, hii nimeitoa kule Globu ya Jamii!.
MONDAY, OCTOBER 01, 2012
MH LOWASSA ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA NAFASI YA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA WILAYA YA MONDULI

Ala! kumbe hizo huduma hapo kwenye nyekundu zinawezekana kutolewa bure??!

Kwa mtaji huu wa CCM kuipigia debe Chadema basi nimeamini sasa kiukweli kuwa akina Dr Slaa watachukua nchi 2015!
 
Wazungu wanasemaga charity starts frm home... Yeye kawekeza na kupalilia monduli yani cdm na nguvu zao zote monduli hawawezi kitu, tatizo uchaguzi wa NEC taifa itakua tofauti na nec monduli i cant wait for huo uchaguzi
 
hakuna jipya, mbona wengi tu wameshinda kama yeye kutoka sehemu mbalimbali, nao wana mipango kama ya Lowasa
 
pasco ni mnafiki sana,huna msimamo wa kile unachokiamini.2015 sio mbali sijui utakuja na porojo gani pale chadema itakapochukua nchi.
 
Nape ataihama nchi 2015!Na aendelee sasa kumwita Kidume wa CCM kwamba ni Gamba.
 
chezea gamba lililomshinda nape wewe............... nw nape ndo amekuwa gamba.................
 
Napita nilikuwa nawatafuta Pasco, na Ritz, wa JF nimewakosa nawatakia mjadala mwema.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka Utakuwa umetumwa na watu fulani.Si mshabiki wa chama chochote lakini mshabiki wa Lowasa.Vipi amekudokeza kuwa atachukua fomu ya kugombea urais? wanachama wenzake watampitisha? atashindana na nani? Atashinda? Kwa maana umetangaza mapema tu matokeo,miaka mitatu kabla ya uchaguzi,lakini kabla ya katiba mpya maana hatujui kama watanzania wataamua mawaziri wakuu wastaafu kutogombea urais wa nchi yetu.
 
[/COLOR]
MONDAY, OCTOBER 01, 2012

MH LOWASSA ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA NAFASI YA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA WILAYA YA MONDULI

Mh Lowassa akizungumza na kuwashukuru wapiga kura wake waliompatia ushindi wa
kishindo.

Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,mh. Edward Lowassa akipongezwa mara baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Monduli uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha ualimu Monduli,Mh Lowassa ameshinda kwa kishindo kwa kuwabwaga wapinzani wake kwa idadi ya kura 709,mpinzani mwingine ameta kura 44 na mshindi mwingine aliibuka na kura 7.

Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,mh. Edward Lowassa akipongezwa mara baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Monduli uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha ualimu Monduli,Mh Lowassa ameshinda kwa kishindo kwa kuwabwaga wapinzani wake kwa idadi ya kura 709,mpinzani mwingine amepata kura 44 na mshindi mwingine aliibuka na kura 7.

MONDAY, OCTOBER 01, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

KUBALI AMA KATAA LOWASSA NI JEMBE HASWA,na angekuwa bado waziri mkuu nchi ingekuwa mbali sana.I salute u president to be E.N.Lowassa.
 
pasco ni mnafiki sana,huna msimamo wa kile unachokiamini.2015 sio mbali sijui utakuja na porojo gani pale chadema itakapochukua nchi.
Mkuu Jackbauer, hivi hatuwezi kubishana bila calling names!, mimi ni mwanahabari, mpaka ile saa ya kutangazwa matokeo, nitakuwepo live nikiripotia jf, nitampongeza mshindi na kumpa pole mshindwa!, ila nakuomba sana, mwambie matokeo yakiwa the otherway round, asisuse!.
 
Mpende msipende lowasa atakuwa rais 2015 hakuna wakumpinga heri fisadi mchapakazi,haza ukisingatia kipindi chake akiwa wasiri mkuu nidhamu ilikuwepo.
Kauli za kukata tamaa heri fisadi mchapakazi! huu ni ujinga
 
Back
Top Bottom