PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

Hilo jinga mnalipa publicity hivyo? Hii ni obvious liliiba mitihani. Halina akili yakuwa BOT.
 
Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?

Nahisi Zomba unatoka mikoa fulani ya Magharibi kwa ubishi,aliyetupia picha ametuahabarisha na matamshi wewe unataka video ya nini? CCM ni sawa na mgonjwa aliye mahututi halafu na upungufu wa damu,bahati mbaya damu anayoongezewa ina VVU(Nepi na Chemba). Kwa mtazamo wangu alienda Igunga kumuanagalia demu wake na wala sio kuimarisha Chama ila kuimarisha Uchumba wa mke wa mtu
 
Nilicheka kweli juzi tulikuwa tunapata maneno lejaleja ya vijana wa mtaani jamaa mmoja akasikika anasema dah bang mbaya mdogo na hassani ameugua LUSINDE nikawa nashindwa konecti kabisa mwisho akasema wanafanya mpango wa kumpeleka milembe DAH NILICHEKA KWELI
 
Huyu mwigulu tupo naye humu kila siku hawezi kusema pumba hizo na kama amesema duu pole mchemba unaua ama chetu.
 
Duh Hayo Malori ndio yameleta watu? Hii ni Hatari sana kama sera zao ndio Hizo personal attack!! Jamani wasomi wa Magamba wamelaaniwa na nini Maskini!! Heri Mjinga mwenye Busara; Kuliko Mwerevu Mropokaji!!
 
stupidity ni ugonjwa

Si ugonjwa tu.... 50% dead & 50% alive....

Mwigulu is already puppet, arrogant of FIRST ORDER.....
kawa hovyo, hovyo kabisa..... CCM hata can't gauge itselt nani ana mvuto kwa wananchi.... Mwigulu, Nepi..... -ve images tupu.......
 
CCM hapo 2 ndipo mnapokosea,kuwatukana na kuattach personal issues za viongozi wa CDM wakati wao wanaongea hoja ya kmkomboa mtanzania,mkitaka kuwin jibuni hoja na mseme kwa mifano utekelezaji wa ilani yenu na ahadi zenu.mliahidi mambo kibao wakati wa kampeni,sasa hivi mkiulizwa mnatukana.Huyu mwigulu anawabomolea chama.NYERERE angekua hai angeshamfukuza!! ana element za umafia,ujambazi na ulimbukeni.

Yeye kama katibu wa uchumi na mipango wa chama anapaswa kukiimarisha chama kiuchumi,aeleze tngu apewe huo wadhifa uchumi wa Chama umekua kwa asilimia ngapi?pesa kiasi gani chama kinapata kila mwezi kutokana na vitega uchumi vyake?aoneshe transparency ya mapato na matumizi..
 
Na wewe nawe! Ccm ipi ya kujibu hoja, hii ya kina Nape?!! Acha vichekesho bana!
 
"An idle mind is a workshop of the Devil" 11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa. Kweli ukiwa msomi halafu ukiingia kwenye siasa za kizee wakati ww ni kijana ni hatari kuwa mtu wa maneno yasiyokuwa na mashiko. Huyu kasoma lakini hajaelimika, lakini akija kuelimika things will change.
 
Back
Top Bottom