Najua wapo wasio na iman ila kila binaadam anahali ya woga pale jina la mungu likitajwa kwahivo maombi sana, hii coona itasepa ilikotoka na kama ilitengenezwa basi adhabu itawarudia na hawataisha kutapatapa.
Piga kazi acha kua muoga! Zingatia barakoa kujizui mizunguko isio lazima nawa mikono kila wakati haya yote na mengineyo lakin pia zingatia lishe nzuri kila skku maana unapiga kazi na kipato unafanikiwa kupata.
Mie pia nimefundisha ila sio kwa kasi ya hawa wasio na huruma hata chembe,ukichunguza utakuta misifa kibao kwa waalimu wenzao kutaka kujulikana wao ndo wao dhaaaaa.
nashangaa pia ivi ungalikua wewe na hiko kipigo c ndomambo ya kurudishiana visasi baadae hafu hujui nini chanzo, tumekuelewa kwa uzi wako so! tulia tuli au act we mzazi wa huyo kijana na ikupate picha kama hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.