Kwasababu hauijuhi vizuri sekta ya elimu yetu, na utoto wako unakusumbuaEti utendaji wake ni mzuri, tokea awe waziri sijaona cha maana alichofanya, anazidi kuivuruga tu elimu yetu.
Mie sina tatizo naye ila mwanamke kuwa rais siko tayari hata nikiamliwa kupigwa risasi hadharani niko tayari ...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, over!Huyu mama hana tofauti na Makonda matamko mengi sana
Hafai. Anaenda kuua ajira za watu walioajiliwa ktk vyuo vikuu mbalimbali kwa kutangaza kuvifuta. Angejikita zaidi kwenye kuviboresha, siyo kuvifuta.Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).
Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
Hapana usihemke kwa mambo madogo madogo yaliyo kufurahisha wewe, ambayo hata wewe ungeweza kuyafanya tena nadhani kwa ustadi zaidi ya hapo tambua uraisi siyo sawa na uchaguzi wa mwenye kiti wa wacheza kigodoro .Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).
Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
Kwa huyu nakuunga mkono kwa 75% ana kitu fulani hivi ambacho kingelifaa taifa hili.Mbarawa naye pia
Ananyimwa fungu la miradi ya ujenzi
Bse he is muslim
Isijali mkuu hawa ndio wale wenye mihemko bila tafakari ukimyang'anya kiwanja chake analalamika lakini ukijemga nyumba na ukampa chumba kimoja ndani ya kiwanja ulicho mnyang'anya atafurahi na kukushukuru kama wewe mungu wake. NI UJINGA TU!2015? mbona hujaeleweka na mwaka ulishapita