Mapenz ya mababu ndiyo zaidi kivipi, wakati umetangaza kuwa wewe ni "me", Imekaaje hapo?Tunatoka mara nyingi tunaenda Dubai mara kadhaa hata zanzibara mara nyingi! Ila siridhiki na mapenz yake ya mababu ndio zaid
Nitaaminije umejaliwa kwa maneno tu, mie sio mtu wa mchezo mchezo ujue.... Hebu tuone picha
Mapenz ya mababu ndiyo zaidi kivipi, wakati umetangaza kuwa wewe ni "me", Imekaaje hapo?
Sikia, me naona watu wanatukanatukana tu humu ndani sijaona hata ushauri wa maana ukitolewa.
Watu wanadhani kutoka na mtu mzima ni kutafuta "kulelewa"! Kitu ambacho mimi siafikiani nacho sana.
Suala lililoletwa hapa ni la kisaikolojia zaidi. Wangepatikana wataalamu wa kada hiyo, wangeku-counsel ukatoka na a,b,c's zenye faida kwako.
Sababu kweli ninakubaliana na wewe, wapo watu wanapenda kutoka na watu waliowazidi, hapo tunapoongelea kupenda "aged" tumaanishe upendo wa kimapenzi na si upendo wa kuleana.
Lakini nirudi kwako na wee jamaa yangu, mtu kama anakuzidi umri, unaanzaje kumtokea? Unaanza na "shikamoo mama" au?
Hapo ni kama unatembea na mzazi wako !! Inaonesha hilo jimama linakulipa vizuri, Hongera kwa kupata ajira ya ufundi kwenye mwili wa mtu!!
Yeah kapicha pleaseRealy?
Yeah kapicha please
Waweza kukarusha inbox/pmAdmn atanifuta[emoji85][emoji85]
Waweza kukarusha inbox/pm
khahahahhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaa hatareeeeeeeee kubebwa rightttttttttttt khaaaaahhhhhhhh, you de queen of ma kingdom.Bira Shaka Itakuwa Una NYOTA Ya DIAMOND Au HARMONIZE.
Usijali nitakuelekezaSijuw hata hiyo inbox ipo upande gani ndio kwanza nina mwezi kutumia JF
Usijali nitakuelekeza
Naaanzaje sasa kumwqmbiaa [emoji3][emoji3][emoji3]
lete namba ya mkeo nikusaidie kumwambia....
mama klare yani nikiona vikongwe moyo kwatuNaaanzaje sasa kumwqmbiaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo ipo. Mtoa mada nakuelewa
Hata sijuw nn hiyo unayosemaWewe ni mbongo fleva