Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,264
- 5,356
Mimi ni mwanafunzi na ninatarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu,,,,je maisha ya huko chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel? Na nini mbinu nzuri za kutumia boom vizuri bila kuwazia kukopa pale unapoishiwa,,,maana huwa nasikia mpaka wanafunzi hasa wasichana wana diriki hata kujiuza ilimradi mkono uingie kinywani,,,,i need help!
Kama unaenda chuo cha afya,hususani MUHAS,kakae kwanza hostel then miaka inayofuatia utaenda kupanga nje (unaweza pia usiende kabisa kupanga ukaishia kubebwa Chole)