Recent content by Kazakh destroyer

  1. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Mkuu Grahams wochaut.
  2. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Soon mkuu.
  3. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Tuwasiliane mkuu hata PM tumalizie umri wote kwa heshima.
  4. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Uniongezee madini mkuu naona utanifaa kwenye hizi ramani panapo majaaliwa ukiwa unaelekea 90th birthday mwakani uwe umeacha mwanafunzi, ufuta kule wanaita chomachoma sasa.
  5. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Mitaa yangu hiyo mkuu, last time tulikwama somanga pale usiku kucha, kiukweli issues zinazohusiana na mazao ni biashara nzuri sana.
  6. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Hahaha kwani ghala limefunguliwa kabla ya mwezi wa 10 mkuu? mambo ya kangomba hayo.
  7. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Hahahah asante, nikopeshe mkuu.
  8. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Dah acha tu mkuu, ila tutarudi tena inshaallah.
  9. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Nashukuru mkuu, I hope so.
  10. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Sinywi hizo vitu mkuu, ni katika mapito tu.
  11. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Nashukuru sana, mimi nilikuwa huko miaka kama miwili nyuma, kule Tandahimba na Nanjilinji kwenye ufuta ila kwa mwaka huu nimekula mtaji mkuu siwezi kununua hata robo gunia.
  12. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Mkuu Grahams nashukuru kwa ushuhuda ila una uhakika hujakosea hesabu? sio mwaka 1965 ndo ulienda ubaruku.
  13. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    إنا لله وإنا إليه راجعون
  14. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Anunuliwa mwewe wa Billion 1.1 kama zawadi ya birthday

    incdcrrsszzz.
  15. Kazakh destroyer

    JamiiForums Tanzania Hii ya leo kali sana sana

    Huwa tunavumilia mkuu, jamaa ameharibu sana.
Back
Top Bottom