Muuzaji anatakiwa kuzingatia mahitaji na maslahi ya wateja. Kama mtu ameamua kuuzia Kigoma ajikite huko huko kwa waha. Sio leo unauza Mtwara, kesho Simiyu, kesho kutwa Arusha. Hiyo haifai.Ukiitaka mali utaipata shambani, as long as unanunua huna haki yoyote ya kuipangia matumzizi, nunua tumia tupa kule..
