Recent content by kaysella

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano na mwanamke "classy"

    Furaha ya Mwanadamu iko kwenye kuishi kwa wema,Ndoa ni jambo jema ambalo lilianza kwa Adam na Hawa..Hakika ya dunia ni starehe..na starehe iliyobora kumpata Mwanamke Mwema.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege kuathirika na katazo la kutosafiri nje ya nchi

    kwenye Halmashauri Mkuu umeongopa,Halmashauri mtoko wao Tamisemi au Hazina kwisha kazi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    huyo dada sio yule alisoma udom,anaishi kigamboni?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa unafiki wa Mengi!

    ukawa wamepigwa fair play,acheni kulia lia , kuna wanachadema wengi wamempigia kura magufuli ila hawasemi,
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nani nyuma ya kura fake uchaguzi huu?

    mim kwa uelewa wangu wa miguu ya bandia,huu mguu ulikuwa wa kuwaaminisha watu kuwa wameibiwa ili wapate nguvu ya kuanzisha vurugu baada ya kugalagazwa na magufuli,ila kiukweli uchaguzi ulikuwa kavu kavu,aliyechapika akubali matokeo,..hizo conspiracy za kitoto...
  6. K

    JamiiForums Tanzania US, NATO na Israel wamepagawa na missiles zilizopigwa kutoka Caspian

    wamepagawa na wala hiyo techonology hawana,wao wana toleo la 27 la hiyo technology na ukipiga inabidi uwe ft 600 high na haiendi km 1500,putin alizopiga ni toleo la 30 na unapiga ukiwa ft 200. high.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jambo Leo: Lowassa adaiwa kukodi Makomandoo wa Israel

    Sisi waislamu hatuna mwenzetu mpuuzi kama wew,na hatuogopi kufa,mauti ni bilauri ya maji ambayo kila mtu atakunywa
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa staili hii kina dada mtaumia

    nipe namba,nlikuwa namtafuta siku nyingi saaana uyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

    kumbe banda la mama yako ?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    duuh,we baki na.siasa zako Tanzania,comment yako inaonyesha huna unachokijua kuhusu syria.
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejipiga chenga wenyewe jimbo la Sikonge Kwa kumteua Said Nkumba

    mtoa mada si mkazi wa sikonge,hata huyo uliyemsema kashinda,hakushinda alikuwa wa mwisho kwenye hizo kura za maoni.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwili kutoa majimaji (hasa mikononi na miguuni)

    mimi pia nna ilo tatizo,yani nikiingia kwenye mtihani bila kitambaa,nalowesha booklet
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Dah,mim mwanangu wa kiume wa pekee hata mwaka hana,ntamlinda kwa nguvu zangu zote,mali zangu zote,damu yangu yote mpaka tone la mwisho..
  14. K

    JamiiForums Tanzania UDOM: Utumiaji wa Smartphone kwenye mitihani unaharibu elimu

    umekutana na graduate wangapi mpaka umetoa hitimisho hilo?tatizo sio chuo tatizo ni mwanachuo mwenyewe,kama husomi kwa bidii ,huna mda wa kwenda library,huwezi kuwa mzuri kazini hata usome harvad, viva udom,viva business department viva madam dorica...ulitukazia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    mazingira ya kutatanisha yapi wakati chinavachi alikuwa mwathirika,cd4 zilishuka sana,alifia muhimbili nenda ukapate takwimu zake.
Back
Top Bottom