Nani nyuma ya kura fake uchaguzi huu?

Nani nyuma ya kura fake uchaguzi huu?

Oikos

Senior Member
Joined
May 5, 2011
Posts
198
Reaction score
111
Ukijiuliza utapata majibu. Nani amekuwa nyuma ya kura fake ambazo zimekuwa zikikamatwa kipindi cha uchaguzi? Je Usalama wa Taifa hawajui kabisa ni nani ambaye amehusika na "USHENZI" huo? Hivi Rais Kikwete hajui lolote kuhusu kura hizo ambazo zote zilizokamatwa zimeonekana kumpigia Pombe Magufuli? Tukisema kuwa Serikali ya Kikwete ndiyo imehusika na ushetani huo tutakuwa tumekosea wapi? Ni kura ngapi ambazo zilifanikiwa kuingia kwenye masanduku na hivyo kuwakosesha wananchi haki yao ya kidemokrasia? Kama Serikali hii haihusiki mbona iko kimya kwenye kukanusha hilo?

Mtu yeyote mwenye mawazo mazuri kama wewe unasoma utajua moja kwa moja Serikali ya Chama cha Mapinduzi ilijua fika kuwa hawawezi kushinda kwenye uchaguzi huu ndiyo maana wakaandaa kura fake. Mwanafunzi mwenye uhakika na somo analokwenda kufanyia mtihani huwa haingii kwenye chumba cha mtihani akiwa na "majibu fake"! Viongozi fake watazidi kulifanya Taifa letu liwe fake na kuzidi kudharauliwa na mataifa mengine jirani. Tuna kila rasilimali ya kutupa mafanikio lakini kwa kuwa watawala hawana "akili sahihi" ndiyo maana tunazidi kushindwa kama Taifa katika mitihani ya maisha. Nawaza ni nani aliyekuwa nyuma ya kura fake? Je, kweli tumekuwa na uchaguzi huru na wa haki?
 
Ni yule chizi waliomnunua akina fisadi lowasa awasaidie kuiba kura, sema sasa kilichotokea waliotumwa kuiba wanamapenzi na CCM badala ya kuzitick lowasa wanatick magufuli halafu usalama wataifa wanazikamata, maana safari hii CCM inauhakika na ushindi hivyo hiyo michongo haijulikani na usalama ndiyo maana wanadakwa baba.
 
Hivi wewe dada unaandika huku unajamba??
 
Wenye hizo kura feki, ni wale waliokuwa wakituma wenyeviti wakajifanye wanaomba vitambulisho vya kupigia kura wavikague ili watu wasio na uelewa wadhani chama fulani kinachukua namba za vitambulisho kikijiandaa kuiba kura wakati inaeleweka kuwa hivyo vitambulisho ni Biometrical na viko kwenye network ambayo ina database, ni wale walioandaa matukio feki ya kuzomea viongozi wa vyama wanavyopingana navyo kwa kuandaa vijana feki walioshiba viroba. Wenye hizo kura feki ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya misafara ya mgombea wao kusimamishwa na wananchi wenye machungu nae ambao ni feki, ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya kupigwa deki barabara ili mgombea wao apite, ni wale waliokuwa wakinunua watu ili wajitoe kwenye chama kikubwa na wao waonekane na umaarufu feki, ni wale walioandaa makundi ya watumishi feki wa usalama wanaojifanya wamelipwa pesa ili waibe kura na kuusambaza huo uvumi wakijifanya ni siri wakati nia yao ikiwa kuusambaza zaidi ili watu wauamini. Wenye hizo kura feki ni wale waliosambaza vijana 40,000 wajifanye maafisa wa chama kingine na kuiba taarifa,ni wale walioandaa makundi ya vijana wenye jukumu la kupika matokeo feki na kuyasambaza kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yameandikwa kwenye karatasi za Tume ya uchaguzi feki ili watu waamini ni matokeo halisi kutoka tume na mgombea wao anaonewa ili wafanye vurugu, wenye hizo kura feki ni wale ambao mgombea wao mmoja kakamatwa na virungu,mawe na viroba akiwa mbioni kuchochea vurugu. Kwa kifupi nia yao ni vurugu. Hao ndio walioandaa mipango ya kubebwa kwa kura.
 
Wenye hizo kura feki, ni wale waliokuwa wakituma wenyeviti wakajifanye wanaomba vitambulisho vya kupigia kura wavikague ili watu wasio na uelewa wadhani chama fulani kinachukua namba za vitambulisho kikijiandaa kuiba kura wakati inaeleweka kuwa hivyo vitambulisho ni Biometrical na viko kwenye network ambayo ina database, ni wale walioandaa matukio feki ya kuzomea viongozi wa vyama wanavyopingana navyo kwa kuandaa vijana feki walioshiba viroba. Wenye hizo kura feki ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya misafara ya mgombea wao kusimamishwa na wananchi wenye machungu nae ambao ni feki, ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya kupigwa deki barabara ili mgombea wao apite, ni wale waliokuwa wakinunua watu ili wajitoe kwenye chama kikubwa na wao waonekane na umaarufu feki, ni wale walioandaa makundi ya watumishi feki wa usalama wanaojifanya wamelipwa pesa ili waibe kura na kuusambaza huo uvumi wakijifanya ni siri wakati nia yao ikiwa kuusambaza zaidi ili watu wauamini. Wenye hizo kura feki ni wale waliosambaza vijana 40,000 wajifanye maafisa wa chama kingine na kuiba taarifa,ni wale walioandaa makundi ya vijana wenye jukumu la kupika matokeo feki na kuyasambaza kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yameandikwa kwenye karatasi za Tume ya uchaguzi feki ili watu waamini ni matokeo halisi kutoka tume na mgombea wao anaonewa ili wafanye vurugu.

Si mlikuwa blacked out? Mbona uzushi ulisizi?
 
Wenye hizo kura feki, ni wale waliokuwa wakituma wenyeviti wakajifanye wanaomba vitambulisho vya kupigia kura wavikague ili watu wasio na uelewa wadhani chama fulani kinachukua namba za vitambulisho kikijiandaa kuiba kura wakati inaeleweka kuwa hivyo vitambulisho ni Biometrical na viko kwenye network ambayo ina database, ni wale walioandaa matukio feki ya kuzomea viongozi wa vyama wanavyopingana navyo kwa kuandaa vijana feki walioshiba viroba. Wenye hizo kura feki ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya misafara ya mgombea wao kusimamishwa na wananchi wenye machungu nae ambao ni feki, ni wale waliokuwa wakiandaa matukio feki ya kupigwa deki barabara ili mgombea wao apite, ni wale waliokuwa wakinunua watu ili wajitoe kwenye chama kikubwa na wao waonekane na umaarufu feki, ni wale walioandaa makundi ya watumishi feki wa usalama wanaojifanya wamelipwa pesa ili waibe kura na kuusambaza huo uvumi wakijifanya ni siri wakati nia yao ikiwa kuusambaza zaidi ili watu wauamini. Wenye hizo kura feki ni wale waliosambaza vijana 40,000 wajifanye maafisa wa chama kingine na kuiba taarifa,ni wale walioandaa makundi ya vijana wenye jukumu la kupika matokeo feki na kuyasambaza kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yameandikwa kwenye karatasi za Tume ya uchaguzi feki ili watu waamini ni matokeo halisi kutoka tume na mgombea wao anaonewa ili wafanye vurugu, wenye hizo kura feki ni wale ambao mgombea wao mmoja kakamatwa na virungu,mawe na viroba akiwa mbioni kuchochea vurugu. Kwa kifupi nia yao ni vurugu. Hao ndio walioandaa mipango ya kubebwa kwa kura.

Ongeza na lingine moja, ni wale waliokua wanakamatwa na kura zilizo pigwa tayari kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama.
 
mim kwa uelewa wangu wa miguu ya bandia,huu mguu ulikuwa wa kuwaaminisha watu kuwa wameibiwa ili wapate nguvu ya kuanzisha vurugu baada ya kugalagazwa na magufuli,ila kiukweli uchaguzi ulikuwa kavu kavu,aliyechapika akubali matokeo,..hizo conspiracy za kitoto hazina mashiko,game ilikuwa fair play hapa kwetu na mamvi kachakazwa sana,sijui maeneo mengine.
 
Hivi wewe dada unaandika huku unajamba??

Huyu msihangaike nae..no mmoja kati ya wale wasanii walokodiwa wazunguke nchi zima kupiga kampeni..so bado anafanya kaziyk...pesa haijaisha
 
Ukijiuliza utapata majibu. Nani amekuwa nyuma ya kura fake ambazo zimekuwa zikikamatwa kipindi cha uchaguzi? Je Usalama wa Taifa hawajui kabisa ni nani ambaye amehusika na "USHENZI" huo? Hivi Rais Kikwete hajui lolote kuhusu kura hizo ambazo zote zilizokamatwa zimeonekana kumpigia Pombe Magufuli? Tukisema kuwa Serikali ya Kikwete ndiyo imehusika na ushetani huo tutakuwa tumekosea wapi? Ni kura ngapi ambazo zilifanikiwa kuingia kwenye masanduku na hivyo kuwakosesha wananchi haki yao ya kidemokrasia? Kama Serikali hii haihusiki mbona iko kimya kwenye kukanusha hilo?

Mtu yeyote mwenye mawazo mazuri kama wewe unasoma utajua moja kwa moja Serikali ya Chama cha Mapinduzi ilijua fika kuwa hawawezi kushinda kwenye uchaguzi huu ndiyo maana wakaandaa kura fake. Mwanafunzi mwenye uhakika na somo analokwenda kufanyia mtihani huwa haingii kwenye chumba cha mtihani akiwa na "majibu fake"! Viongozi fake watazidi kulifanya Taifa letu liwe fake na kuzidi kudharauliwa na mataifa mengine jirani. Tuna kila rasilimali ya kutupa mafanikio lakini kwa kuwa watawala hawana "akili sahihi" ndiyo maana tunazidi kushindwa kama Taifa katika mitihani ya maisha. Nawaza ni nani aliyekuwa nyuma ya kura fake? Je, kweli tumekuwa na uchaguzi huru na wa haki?

mim ni msimamizi wa Uchaguzi-sikuwahi kufuatwa na mtu au kiongozi yeyote ili nimsaidie kuongeza kura kwasababu wanajua haiwezekani kwasababu kura zinahesabiwa kituoni na utaingizaje kura wakat mawakala wa vyama wapo na wasimamizi walikuwa ni vijana 5 ambao ni wa vyama tofauti? hali kadhalika mfumo wa ujumuishaji kura ulikuwa haukubali kujumuisha kura zinazozidi idadi wa watu waliojiandikisha-tulipewa nafasi ya kunadi sera na kuwaachia wananchi maamuzi, tusijengeane chuki bure-hayo matokeo ndio picha halisi.
 
mim kwa uelewa wangu wa miguu ya bandia,huu mguu ulikuwa wa kuwaaminisha watu kuwa wameibiwa ili wapate nguvu ya kuanzisha vurugu baada ya kugalagazwa na magufuli,ila kiukweli uchaguzi ulikuwa kavu kavu,aliyechapika akubali matokeo,..hizo conspiracy za kitoto hazina mashiko,game ilikuwa fair play hapa kwetu na mamvi kachakazwa sana,sijui maeneo mengine.

Safari ndio kwanza mbezi Louis kuwa mpole
 
Wizi wa kura ni technics inayochezwa kwa akili sana, hivyo unapoona watu wanakodi wataalam wa computer hata kutoka nje ya tume usidhani ni jambo dogo, so kula kutangazwa vituoni na kubandika siyo sababu na ile ya kura kuzidi.

Je nani anaweza kujua kuna kituo kimezidi na wakawepo mawakala wa vyama vyote japo siyo real mawakala?.
 
mim ni msimamizi wa Uchaguzi-sikuwahi kufuatwa na mtu au kiongozi yeyote ili nimsaidie kuongeza kura kwasababu wanajua haiwezekani kwasababu kura zinahesabiwa kituoni na utaingizaje kura wakat mawakala wa vyama wapo na wasimamizi walikuwa ni vijana 5 ambao ni wa vyama tofauti? hali kadhalika mfumo wa ujumuishaji kura ulikuwa haukubali kujumuisha kura zinazozidi idadi wa watu waliojiandikisha-tulipewa nafasi ya kunadi sera na kuwaachia wananchi maamuzi, tusijengeane chuki bure-hayo matokeo ndio picha halisi.

Inashangaza kwa kweli si Kuna wasimamizi wao katika kila kituo
 
So what? How is that related to this thread?

Hakukuwa na kura feki, mlikuwa mnazusha kuvuruga upigaji kura? Kama mnavyo jaribu sasa kurusha matokeo feki but bahati mbaya hayana effect tena.

Nani nyuma ya kura feki? U know better

Is that still not related to the topic?
 
How does chaos favour us? Waliokuwa wakirusha matokeo feki wamekamatwa na idadi yao inazidi 166 na wanaemhusu alitoka kuwatetea. Mpaka hapo Utaona alie nyuma ya kura feki. Nachojaribu kukielewa ni kwa vipi blackout ya JF inahusiana na hii thread.
 
Back
Top Bottom