Yaani vijana wa ccm ni liability. Me nilijua kwa sababu mpo upanse wa serikali basi kuna favours za kielimu na mambo ya exposure mnapata.
Soma hapa kwenye wikipedia alafu ujione ulivyo fala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza jaribu yafuatayo
A. Potezea kampani yako (Marafiki) wenye mrengo wa bata. Hapa namaanisha acha kbisa kushinda nao hat ikiwezekana acha kuwasiliana nao.
B. Kama hufanyi mazoezi tafuta gym na ulipie kifurushi cha mwezi ili ikifika jioni ukitoka mishe uende huko.
C. Kama demu ako...
Kwa hiyo wakenya hela ya chakula mnanunua condom alafu mnaomba msaa da wa chakula?
Huo ni umalaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.