Wanaume wa Dar Tunadhalilishana sana.Nimeshangazwa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
2,995
Points
2,000

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
2,995 2,000
Inahuzunisha yaani kila mtu ofisin leo kaja na jacket au coat zito. Mwanaume kabisa hali hii unakuja unatetema umejikunyata kama kifaranga cha kuku.

Come on... Hivi kuna baridi gani la kuvaa nguo nzito leo? Wanaoishi Mbeya,arusha,rukwa,iringa wavae nini sasa?moto?

Acheni ufala.muanze kugangamaa na nyie.mnafanya wote tuonekane dhaifu.kwa hali hii hata nguvu za kiume mtapata wapi?

Mwanaume mzima anakuja kusema leo kaoga maji ya moto na usiku kajifunika blanket.huu ni ufala kabisa.

Stories zote leo ni kuhusu baridi na sex...hivi mngekaa mbeya au iringa ingekuwaje?

Mpaka nmejisikia vibaya sisi pia mbona tumezaliwa Dar lakini hatuna tabia za kindezi namna hiyo?acheni hizo mnatakiwa kugangamaa.
 

Forum statistics

Threads 1,388,912
Members 527,828
Posts 34,014,413
Top