PRO 90
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 301
- 817
Mambo mengi, wanaume tunazingua, wanawake wanazngua.Hili ndilo nililoliona mimi pia. Hapo zuga tu mchezo wote anauchezesha mume mwenzie. Nq hata kama si hivyo huyo mwanamke si wa kuoa familia haina adabu hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Game on... Ila kubadilika kupo.
Sent using Jamii Forums mobile app