Marekani watangaza siku ya maombi kukabili Corona

Marekani watangaza siku ya maombi kukabili Corona

politics

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
211
Reaction score
155


Tumtangulize Mwenye Enzi Mungu Kwanza.
IMG_20200509_082213.jpg
 
Habari .

Baada ya ugonjwa wa Corona kuitikisa Marekani na watu zaidi ya elfu 74 kufariki dunia ,sasa wameamua kukopi na kupaste njia anazotumia rais wa Tanzania John Magufuli kupambana na ugonjwa huo.

Rais Magufuli alianza kwa kuwaomba watanzania wote kufunga na kuomba siku tatu kumuomba Mungu atuondolee hili janga, Chadema waliponda sana hatua hii ya rais Magufuli, lakini Jana Marekani nao wametangaza siku ya maombi kuindoa Corona ,je Chadema watapinga na kuwaponda wamarekani kama walivyofanya kwa Magufuli?? Ngoja tusubiri na kuona.
IMG_20200509_084259.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mmejitoa kafara kumsujudia jiwe,yaani hata yeye huwa anawashangaa mlivyo wapumbavu!
 
Back
Top Bottom