Kiukweli historia yetu imekwishaa oneshaa sisi kama nchii hatuna uwezo Wa kujitegemea.... Tazama kila kitu kinaagizwaa njee, lkn pia tujifunzee mataifa mengne yalivyoathirikaa kutokana uhusiano mbovu na ulaya ni yupi hajui yaUganda issue ushoga mpk wnyw walilegeza masharti nakuurusu ushoga...
Huyu ndio yulee mwanakijiji aliekuwaa anaheshimikaa kwa ANDISHII LAKE...?? Kikweli naamini cyo yeye ..!! Kamaa ni wewe jitafakarii zaid kaa bado unamwelekeo unaeleweka na kuheshimikaa
Tulipata kusikia upinzanii et utakufaa baada ya uchaguzii ,sasa naonaa mnarefushaa mudaa ilaa hats hawa ccm hawanaa maish. Mazuri baada ya magufuli kuuchukua uenyekitii
Nataka hao wabungee hao waliochaguliwaa watimbee ndani ya nyumba ya uwakilishii na wamvimbiee bhana spika kifichoo hadi wao wemyewe waendee kuwaita polisi kaa bunge LA bara....!! Ila kwa hii ccm na mashabiki zezeta, kamwee et hayaonii kasoro yyte zenj..? Watu wote walio mbele ya mwanga dunia kaa...
Huyu magufuli kwa nini anateua maprof na madk Wa UDSM TUU...
Hizoo nafasi zote wamepewaa maprof&Dr Wa Udsm ebu tujue nini mtazamoo akoo. ...
Jeee waamini katka mapro&drs..?
Jee wawalipa fadhila, upendeleo jamaa zako ambao ni lecture pale Udsm...?
Pia tunatambua kama kufanyaa hivii hufanyaa...
Baada ya watumishi kupuzwaa, kudhalilishwa+ kutojaliwa na selikali zilizopita na watumishi wakaamua kubuni, kuchagua mbinu, njia zaa utendajii kazi wawapo kazinii na mikataba yao ya kaziiiii.....
Ebhana weyeee selikali wapO mbion kufanya marekebisho ya kipengere cha permanent+ pensionable...
Mnaojadili maada hii uwasilishwajii Wa maada upo kwny mtazamo Wa kimahakama na kiselikali kwamba vyombo hivii kwamba et vipo huru na maamuzi yake hayaegemei upande wowote wavyama/kisiasa hasa kupitia watumishi, idara ake haswa vinapotekeleza majukumu yao.... Jee kupitia huyu Dr mwanasheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.