Haaaa..Haaaa sijaandikaa spika ni Nani ila nimemzunguzia Dr tulia Ackson...umenipata Eheeeee.....!!
Kwa upande wangu naona huu muhimili wa judicially hauko huru kuna wanachama wa vyama vya siasa,angalia Chenge,Augustine Ramadhan,Leo Tulia,sasa muhimili huu utakuwaje huru kkama watu wanafanya kazi wakiwa na kadi za vyama