Kautafiti: Sifa ya kupandishwa cheo ni kudhibiti au kuvuruga upinzani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,858
Haya yalianza siku nyingi na bado yanaendelea.

Walianza hawa:

1.Miguu miwili-huyu alianza kuzawadiwa uongozi ndani ya chama na baadae unaibu waziri kwa kushambulia upinzani akiwa mjengoni,nje ya mjengoni na kuendesha ile vile vitendo viovu dhidi ya wapinzani.

2.Comandoo wa Iringa-Baada ya ile kazi akaletwa mjini na kupandishwa cheo.

3.Poo kondakta-huyu baada ya kumfanyia fujo na vituko mh.fulan,i nae amepandishwa cheo.Alianza kumvuruga mzee wa Nywele nyeupe na baadae akamvuruga mzee aleituandikia katiba ndio akapewa kale kacheo ka mwanzo.

Anaefuata siku si nyingi ni yule alievuruga uchaguzi wa kumpata bwana mkubwa wa jiji.

Yule bwana "harakaharaka" aliekuwa mstari wa mbele kwenye media kutuharibia tusichaguliwe kipindi kile na tukamsema sana,nae siku si nyingi mtasikia kapewa kacheo fulani ka kuteuliwa ila tu nae apunguze keleke zake juu ya katiba anaweza kujiharibia.

Alafu iko hivi,mkimuandama kwa kumsema na kumuandika vibaya mitandaoni na kwenye media,basi haraka wanampoza kwa kumpandisha cheo hasa kwa lengo la kuwakomoa.
 
Kamanda Salary Slip naona unatii sheria ya mtandao bila shurti lakini unafikisha ujumbe. Nimepotea kwa comandoo wa Iringa!!!
 
Makonda atakapomaliza KUISUKA UPYA DAR, tutamuomba magufuli ampe uhamisho aje aisuke upya ARUSHA, kama hajashushwa cheo na kuwa mwenyekiti wa kitongoji wilayani mtama.
 
Sijamuona yyt aliyedhibti au kudhoofisha upinzani, naona maccm yote yanapiga kelele tu......zaidi sana ni kuwanyanyasa kutumia jeshi la polisi lkn hakuna siku upinzani umedhoofu ila unaimarika kila uchao........kuudhibiti upinzani kwa ss ni sawa na kutaka kutudhibiti wananchi.
 
Back
Top Bottom