ZEC walisahau mama walishatoa hii kitu ya ushindi! Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015

Jimbo

JF-Expert Member
Aug 2, 2015
616
468
1458703151563.jpg
 
Ilikuwa sensa ya wana CCM tuuuu kwa gharama ya taifa

Bado hiyo sensa number iliyotoka pungufu na waliyoitazamia.Kwa maana kwamba hata wanachama wao walisusia.Lakini duh..........hili ni zaidi ya kuchakachua
 
Kama sikosei baada ya uchaguzi mgombea akikabidhiwa hati ya ushindi ni mahakama pekee ndio inauwezo wa kutengua ushindi huo. Jee wale walio shinda na kupewa hati 25/10 ni mahakama gani imetengua ushindi wao?
 
Uchaguzi na matokeo ya octoba 25 vilifutwa...kama mlitegemea huruma imeshakula kwenu....

JINGA LAO hebu sema ulifutwaje na kwa kifungu kipi cha sheria?

Na ukipenda unaweza kuja mbele zaidi na tuambie na huu uliowapa wana CCM ushindi wa 100% kuanzia udiwani, ubunge na Urais ni kwa sheria ipi eti na katiba gani?

Please, hebu tulitazame hili ktk jicho la nje ya ukada wa CCM. It is absolutely kuna mgogoro mkubwa, mkubwa, mkubwa saaana tu pengine kuliko hata ya miaka iliyopita.

Mimi nilisema kabla kuwa Maalim Seif S. Hamad na CUF kwa hili wamewazidi Dr Ally M. Shein na CCM yake akili kwa mbaaali saana.......they are smarter than them at every move they make!!

Dr Shein na CCM yake from the bottom of their heart wanafahamu wamefanya kosa na akili zao zote eti waiongoze na kuitawala Zanzibar kwa vifaru vya jeshi na kutumia mazombie.

Huwezi kuongoza watu waliokukataa na wewe ukabaki salama!!!
 
Inasikitisha sana kwa kinachoendelea ZNZ
Hivi sasa kuna maeneo marufuku kupita huwezi kwenda kuogelea maruhubi beach huwezi kutumia lane moja ya barabara kuokea uhamiaji mpaka maisara kama unaenda airport ,baadhi ya vijiwe vimevunjwa kabisa ,raia hatuwezi kula ulabu katika pub ya JKU tena yaani ni maeneo mengo yam3jaa marufuku kwa hii serikali ya rais anayependwa sana na kychaguluwa kwa asilimia tisini na ushee!
 
Hivi kulikuwa na wagombea maana sijasikia kutangazwa kwao na kura walizopata nimeona za rais nazo zimetajwa jumlajumla bila kutangaza kama ilivyokuwa oktoba kwa kutangaza za kila jimbo inatia shaka na kura zilizotangazwa
 
Nataka hao wabungee hao waliochaguliwaa watimbee ndani ya nyumba ya uwakilishii na wamvimbiee bhana spika kifichoo hadi wao wemyewe waendee kuwaita polisi kaa bunge LA bara....!! Ila kwa hii ccm na mashabiki zezeta, kamwee et hayaonii kasoro yyte zenj..? Watu wote walio mbele ya mwanga dunia kaa marekani,uingereza,Canada ,wanajua na wanakiri kwamba zenj hakukua na uchaguzii jee wewe tuu kikaragosi Wa ccm upo waxema ulikuwaa sawa...
 
Hivi kweli anayeapa, ataweza kuishika Qur'an kweli na kuapa huku ndani ya nafsi yake akijua ukweli?.

Watu wengine hawaogopi hata kidogo.
nasikia shein anaogopa kupa kwa kuran original hivyo unaandaliwa utaratibu aapishwe kwa kitabu kinachofamana na koran
 
Back
Top Bottom