Recent content by Kay87

  1. Kay87

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Lala salama Peponi kaka Msamiati
  2. Kay87

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Nawaombea maisha marefu wote mliozaliwa tarehe kama ya leo, Mungu awalinde na maradhi, ajali na awajaze Bahati na Mafanikio! Happy Birthday
  3. Kay87

    JamiiForums Tanzania Urambo: Magreth sita(ccm) mgombea ubunge anagawa rushwa ni kampeni za vitisho.

    Hii ya huyu mama hata mm nimeishuhudia! Haya wa Tanzania/wana Urambo kazi kwenu kwakuwa siku hizi maisha magumu hizo rushwa nyie kuleni ila kupiga kura ni siri so Mabadiliko hata ya ukoo tuu yatahusika hapo
  4. Kay87

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Yaani hapo ilibaki kidogo aseme alikuwa rais wa china.. Maana ndo anaowafaham vzr wakandarasi wake, lol!
  5. Kay87

    JamiiForums Tanzania ID za wadada wa JF: Kuna kitu sijakiona

    Haya wacha na mimi nifanye mchakato wa kubadili id.. Sema tuu Shieka anataka kujua list ya ma mrs hana lolote
  6. Kay87

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mohamedi Mtoi: Kesho tutaelekea Lushoto, karibuni

    Lala salama pema peponi kaka Mtoi
  7. Kay87

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Kingine nilichogundua ktk mikutano ya kampeni ya ccm ni kwamba hiyo nyomi ya watu sio kwamba wanakuja sikiliza ilani bali wanakuja ona wasanii na kuburudika kwa ujumla, wakati magufuli anaongea watu walikuwa busy kupiga story ila alipopanda msanii jukwaani kulikuwa na shangwe za kufa mtuu...
  8. Kay87

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Mkuu hajavunja rekodi ya papa, uwanja haukujaa wote! Papa alijaza uwanja wote! Mimi nilikuwepo uwanjani sema tuu huwa wanapiga picha eneo moja ambalo watu wamekusanyika!:
  9. Kay87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakisema kila mtu afanye harusi yake sehemu aliyokutana na mpenzi wake, yako ingefanyika wapi?

    Lol, yangu ingefungiwa kwenye treni
  10. Kay87

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuri serikali imejenga kiwanda cha Dangote

    Nadhani huo ni mwendelezo kwetu wapumbavu na malofa..
  11. Kay87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutokana na watu niliobahatika kuwafahamu face to face JF

    Kweli kabisa dada, ubarikiwe kwa somo hili maana kwangu umenielimisha
  12. Kay87

    JamiiForums Tanzania Ofa: Tunauza nguo za Mitumba Grade A

    Weka picha best
  13. Kay87

    JamiiForums Tanzania Demand ya Samaki aina ya kambale

    Mie nataka wa kula nyumbani ila nahitaji kambale mkubwa kuanzia kg8 nakuendelea
Back
Top Bottom