Ana maana Serikali iliyo madarakani (CCM) wametoa kibali kwa Mwekezaji ambaye amejenga kiwanda hicho cha DANGOTE. Hapo kuna uongo?. Au mwekezaji alijileta tu mwenyewe na kuanza kujenga hicho kiwanda?
akihutubia maelfu ya wakazi mkoani Mtwara mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm amejinadi kuwa serikali ya ccm imejenga kiwanda cha Dangote kwa ajiri ya kutoa ajira kwa vijana. swali langu kwa mh. Magufuri DANGOTE ni kiwanda cha serikali? mi naona kwa hilo umewadanganya wananchi
Serekali ndio inayotoa kibali Ujenzi , mwekezaji haji akaamua anachotaka. Hapo hakusema uongo
Ana maana Serikali iliyo madarakani (CCM) wametoa kibali kwa Mwekezaji ambaye amejenga kiwanda hicho cha DANGOTE. Hapo kuna uongo?. Au mwekezaji alijileta tu mwenyewe na kuanza kujenga hicho kiwanda?
usijali ndugu soon itakuwa hewani naifanyia kazi
Ni sawa na una nyumba ya kupangisha, unapata mpangaji na anamiliki gari. Wewe unaomba ujumbe wa mtaa kisha katika mambo ya kutafutia kura ni kusema " Nimeleta mpangaji wangu na mumeona anawasaidia kuwapa lifti mkienda hospitalini, naomba kura zenu"
Sasa mnabisha nini dangoke kajenga tanzania.na tanzania mali ya serikali na government ccm.
Hamjui kuwa Dangote kuletwa hapa na kuruhusiwa kuweka kiwanda hapa ni matunda ya juhudi za serikali katika kufungua mianya ya uwekezaji ambayo inatoa ajira kwa wazalendo?
Hicho ndicho alichokimaanisha Rais Maghufuli, tatizo mnajitoa ufahamu kama vile hamuelewi.