ID za wadada wa JF: Kuna kitu sijakiona

ID za wadada wa JF: Kuna kitu sijakiona

Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na ID za wadada wa Jf
ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame'.

Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs.' Hii inanishangaza.

Kwa nini hivyo? Je, wadada hawataki kutoa taswira kwamba wameolewa?

Una hakika umecheck majina ya wadada wote?
 
Una hakika umecheck majina ya wadada wote?
Ha ha haa mrsleo naona unanishukia polepole kiaina.Kuna mdau keshanieleza kwamba kuna mrsleo hapa
jamvini na nimekusearch nikakukuta!Ajabu ni kwamba sikumbuki kukusoma popote
hapa jf! Thread yangu iko based kwenye memory zangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na ID za wadada wa Jf
ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame'.

Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs.' Hii inanishangaza.

Kwa nini hivyo? Je, wadada hawataki kutoa taswira kwamba wameolewa?

Ahahahahaaa hii kali haikuwepo kabisa ktk mawazo yangu
 
Haya wacha na mimi nifanye mchakato wa kubadili id.. Sema tuu Shieka anataka kujua list ya ma mrs hana lolote
 
Laiti ungejua maana ya sumbai cute b! MPM sumbai akueleze ushangae si kidogo.
sumbai ni mpenzi wangu so hiyo ni id tuu mkuu.
Tulichagua nae hiyo id na ilikuwa ni jina la mwalimu wake aliyemcharaza sana viboko hivyo anamkbuka bado
 
Last edited by a moderator:
sumbai ni mpenzi wangu so hiyo ni id tuu mkuu.
Tulichagua nae hiyo id na ilikuwa ni jina la mwalimu wake aliyemcharaza sana viboko hivyo anamkbuka bado

thankyuuuu my darlin
 
Last edited by a moderator:
hahahha mkuu umenchekesha hiyo s ni herufi ya kwanza ya jina langu madame nilipenda tu nikajikuta naweka madame
Na wewe unanichekesha mno kwa kutumia neno madame bila kufahamu maana yake,
kama yule mtu aliyepokea text msg iliyoishia na maneno .....some text missing, naye akajibu
some text missing too.
 
ma mrs wengi sana ila ndio hivyo haina umuhimu kujua
 
Back
Top Bottom