Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

My God!Nimehuzunika sana kwa taarifa hii.
Hiyo mada yake ya jinsi alivyoweza kumtapeli huyo tapeli wa Kisenegali ni moja kati ya mada zilizonifanya niipende sana JF,na ipo katika list ya mada nizipendazo humu.
Anyways... R.I.P ndugu Msamiati.
Nimeumia sana!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ailza roho yake mahali pema peponi......amen!

Poleni wanaJF, poleni ndugu jamaa na marafiki wote
 
Wema hawana maisha. Mungu akutangulie Ndg. Msamiati kwenye hii safari yako mpya uliyoianza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom