Demand ya Samaki aina ya kambale

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
1,195
Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,093
1,250
Hebu sema vizuri bei, ujazo na mahali ulipo usijekuwa uko shinyanga wengine tuko Nachingwea huku ikawa shida kupata
 

Kay87

Member
Jul 29, 2015
15
0
Mie nataka wa kula nyumbani ila nahitaji kambale mkubwa kuanzia kg8 nakuendelea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom