Recent content by Kavirondo

  1. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Naomba ushauri kuhusu 6 way distribution board brand ya HPL, single phase ubora wake ukilinganisha na havells au tronics
  2. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Naomba ushauri kuhusu 6 way distribution board brand ya HPL, single phase ubora wake ukilinganisha na havells au tronics
  3. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Shukrani mkuu nilishapata makadirio yenye uhalisia, mwanzoni hatukuelewana na fundi nikidhani idadi ni mara mbili ya nilichotemegea,kumbe alinipa options 2..
  4. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Msaada wa makadirio ya Mbao kwa ajili ya brandering...ukubwa wa nyumba 9*10=90sq mtrs...nikitumia 2*2 kwa sababu ya gharama ni sawa..zinaweza hitajika ngapi..
  5. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?

    Your consistency is very underrated humu.. Kwamimi niliyeanza kuingia kama guest 09,Kisha kujiunga 11,(kabla ya kubadili ID miaka michache baadae)pokea maua Yako..
  6. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Je ni sahihi kutumia mbao za size moja kwa paa kama hili. (mfano 2*3 zote au 2*4 zote)..?
  7. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    msaada hapo makadirio ya bati na mbao
  8. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kwa hii roof plan,naweza pata makadirio ya idadi ya Bati?
  9. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kitchen verandah tayari inanguzo 2(1.3*2.25)mtrs,mpango ni kuweka slab juu kwa kuextend kidogo ili walau tank la 2m3 likae. Nimeambiwa hitaji Nondo 12mm (5pcs) 'Mirunda 18ft(9pcs) Cement 5no Misumari 4"~2kg Binding wire 1no Mchanga mweusi(upo tayari) Labour 180K ukitoa mchanga ambao upo...
  10. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    asante,kuna changamoto nikifanya hili zoezi sasa(kabla ya kupaua)?,ukizingatia upauaji unahitaji hela yote kwa pamoja,hofu yangu ni kukaa muda mrefu na ndani kuota mimea
  11. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    ni wakati gani sahihi wa kumwaga jamvi..?nimeshaanza kupandisha tofali juu ya lenta,kinachonikera ni mimea kuota ndani
  12. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    Kwenye court of public..ni feelings over facts
  13. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Wiki ya wanandoa: Talaka ya Davis Mosha, hukumu ya mauaji wifi wa mke wa Bilionea Msuya

    Angekuwa anafuatilia crime documentaries zinazohusiana na mapenzi na mali..angetambua hili ni tatizo la dunia nzima..
  14. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    simple..mngejipanga upya kukata rufaa..kama mnavigezo vya msingi.... wanasema "Facts don't care about your feelings"
  15. Kavirondo

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    watu hawaelewi maana ya hatia pasi na shaka..
Back
Top Bottom