Recent content by kautipe

  1. K

    Tanzania Daima yasikitisha!!!

    Mhariri amenitumia tena maoni yake. Nimemshauri ajiunge na forum hii, ili iwe rahisi kwake kuwasiliana na wasomaji wake. Hata hivyo, ameniomba niseme haya: ndugu yangu, ninasoma maoni ya watu hapa. Ukweli nimefurahi sana kwa michango yangu. Kama Mhariri wa gazeti ni haki yangu na wajibu kuwapa...
  2. K

    Tanzania Daima yasikitisha!!!

    Tuhuma hizo ni nzito. Ninawafahamu wahariri wote wa Tanzania Daima na hasa huyo wa habari. Nimelazimika kumpigia na kuongea naye. Kwa bahati mbaya, hajajiunga katika jukwaa hili. Alichosema ni hiki: nanukuu_ "NDUGU YANGU ASANTE KWA TAARIFA. NI KWELI NIMEPIGIWA SIMU NA MTU HUYO, NA MAZUNGUMZO...
  3. K

    Natafuta mtaalamu wa mambo ya mahusiano, matatizo yangu ni makubwa, tafadhali nisaidieni

    ashangedere awe mkweli ama muongo mie sijui. Ila kisa chake kinawapata wengi hata mie nilifikwa na hali hiyo. Ni kama ameniwakilisha. Kilichonisaidia kurudi ktk upendo ni mtaalamu mmoja na katunga kitabu kiitwacho Ndoa yangu ningejua, nilipokisoma kilinichoma sana. Kitafute na ukimtaka sema...
  4. K

    Hizi ndizo ndoa zetu wanaJF?

    mtoa mada ameweka shida yake hapa jamvini ili tumpe ushauri na maoni yetu, ninachoshindwa kuelewa, ni kwa nini badala ya kumsadiia tunajibu kwa namna ya kudhihaki? Ninaungana na wengi waliosema kuwa suala la ndoa ni mtambuka kwa maana kwamba wengi hawajui. Wengine hudhani ndoa umuhimu wake ni...
  5. K

    Hizi ndizo ndoa zetu wanaJF?

    nadhani waombe radhi waliofunga ndoa. Huwezi kuwatukana watu kwamba ndoa ujinga! sidhani una akili sawa
  6. K

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    <br /> <br / kama kuna mwanafunzi hakukisoma enzi ya primary miaka ya 70 hadi 80 mwanzoni bac hakufaidi
  7. K

    Asanteni kwa mawazo yenu

    dada yangu unluky, pole sana na pia washukuru sana wale wote waliochangia mjadala huu. nikwambie ukweli, kama baadhi yao walivyosema, wewe pia umechangia kwa namna moja ama nyingine tabia ya mumeo. Ukitaka kujua zaidi, nakushauri tafuta kitabu kimoja kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA kitakupa majibu...
  8. K

    mama mkwe na binti

    safi sana ni kukomesha wakwe wenye midomo kama huyo
  9. K

    Tanzania ya Vunja Rekodi ya China NA Ujerumani

    makubwa, sitaki ushahidi na wala sijaisoma hii
  10. K

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    wiki hii nimesoma kitabu maarufu sana kwa sasa, kiitwacho NDOA YANGU, NINGEJUA. Nimekipenda sana kwa sababu kinaeleza kwa kinagaubaga kwa nini ndoa nyingi hazina amani. Kwa kweli kimenigusa kwa sababu kuna sehemu mtunzi ameeleza historia ya ndoa yangu utadhani ananijua, na hasa zaidi maswali...
  11. K

    Nimeitupa engagement ring dampo

    <br /> <br / dada yangu umepata ulichostahili. Kwanini mnakubali kuvalishwa pete za uchumba kihumi? Na usipobadilika utaishia kuvalishwa na kutumiwa
  12. K

    Niwe na mpenzi wa aina gani

    huo ushauri wa kuoana watu wa jinsia moja ni wa kishetani na aliyeutoa ana mtindio wa ubungo usiopona
Back
Top Bottom