Tanzania ya Vunja Rekodi ya China NA Ujerumani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya Vunja Rekodi ya China NA Ujerumani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dumelang, Aug 29, 2011.

 1. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,189
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Palitokea mkutano wa Madaktari Bingwa wa 3 kutoka China, Ujerumani na Tanzania. wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa katika nchi zao
  Mchina AKAANZA "KWETU" alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate.

  MJERUMANI: Hiyo kidogo, kwetu Alizaliwa msichana hana miguu yote, tukamwekea ya BANDIA sasa ni mkimbiaji Olimpiki na anamedali 3 za Dhahabu.

  MTANZANIA..., AKACHEKA AKASEMA KWENU BADO HAMJAFIKIA REKODI YETU. " SISI HAPO BAGAMOYO ALIZALIWA KIJANA HANA KICHWA TUKAMWEKEA NAZI NA SASA NI RAISI.:msela:
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh......................ke kee keeeekeke keeeeeeeeeeekeeeeeeee
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah hiyo kali nazi kichwani now rais hahahhahhahhhhhhhhhhhahhha
   
 4. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  hahahahaha sasa ntalala kwa amani. True that!
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Oh my God,sina comment loh yamekuwa haya,
   
 6. Yuri G

  Yuri G Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  datz z fun! U mean prez da duh!
   
 7. M

  Mkwakwasu Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ee bwana eee!kumbe ndo maana tunasaffer!
   
 8. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii kali, naona mna utani na baba riz1!
   
 9. B

  Bucad Senior Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tobaaaaaaaaaaa! Mi simo!
   
 10. k

  kautipe Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makubwa, sitaki ushahidi na wala sijaisoma hii
   
 11. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,490
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  teheeee teheeeeee teheeeee!tena hiyo nazi imeliwa na mbalamwezi!
   
 12. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  sawa kabisa kweli ile ni nazi
   
 13. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimcheka mpaka nimelia nimeipenda hiyo sana!!! nachuwa kwenye top 10 zangu
   
Loading...