Madhara ya Barrick gold, live Aljazeera

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,101
1,526
wanajamvi,kuna documentary ínaonyesha maovu ya barrick goldmines huko Bolivia,ambayo imenigusa kwani kila kinachoongelewa ni kama yanayotusibu hapa kwetu.yeyote mwenye nafasi aangalie aljazeera tv live sasa hivi.nawakilisha...
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
1,334
Hao barrick wana 3yrs hapa Tanzania, nasubiria Uhuru wetu 2015 Lazima tuwafundishe adabu
 
Oct 5, 2011
63
16
ndugu zangu kiswahili ni lugha yetu,NAOMBANAWASILISHA SI KUWAKILISHA,AMESIBITISHA KUPOKEA TAARIFA HIZO NA SI KUDHIBITISHA.nawasilisha
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,101
1,526
nashukuru so ukipewa kazi barrik gold mine utakataa? Nawakilisha

Hata wale wanaofanya kazi barrick wanafanya huku wamenuna.ila hawana option na kila inaopatkana huwa wanaachia ngazi mapema wakikimbia mapunjo na unyanyasaji.
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,535
4,860
Barrick pumbafu sana na Al jazeera pumbafu wanafiki na walongo wakubwa wote manyangau tu
 

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
14
Ukweli ndo uwo,ila blame nyingi tuzielekeze kwa viongozi wetu,hawapo makini kbs. Haiwezekani kabisa hawa jamaa wanakuwa wajanja kihivyo mwisho tunaachwa tunashangaa.
Thahabu haioti tena,hawa machizi ghana walifukuzwa kwa ujanja ujanja wao. Hapa ndo wamejitawala hawana wasiwasi wanachimba ucku na mchana kwa mashine kubwa telex 170 na 785 DT/ hapo unategemea nn tutabaki na kitu hapo kwa hz %3?
Du! God bress us.
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,445
fikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.
ameuliza swali sasa utoto uko wapi

na wewe kukurupuka peleka choo cha shimo

If you want to be fair then take time to think outside the box, biohasard ameuliza swali la msingi... tuna wengi tu wanapiga kelele wakipewa kazi wananyamaza na kutugeuka

Nyambaff
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,186
1,403
fikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.
Join Date : 31st May 2011
Posts : 29
Rep Power : 0
Ndo kwanza una post 29 nenda kajipange kwanza ndo uje humu jf chai ya rangi ww.
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,186
1,403
Hata wale wanaofanya kazi barrick wanafanya huku wamenuna.ila hawana option na kila inaopatkana huwa wanaachia ngazi mapema wakikimbia mapunjo na unyanyasaji.
Zikitangazwa kazi watu wanataka kuuana leo hii mnafikiria mambo ambayo sauzi waliyafanikisha kitambo kwa anglo americans, kuna madhara kama mineral exaustion zilitokea sana sauzi na hapa kwa buhemba imetokea na huko kwingine itatokea tu so acha watu wapige mzigo matokeo baadae. Hakuna uvunaji wa pesa usio na disadvantage. Mfano MV SPICE
 

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
Haina noma mi wakisepa waniachie hzo buster,detonating cords delays,na plane paper kwa ajil ya kudizain mablastingpatern yngu peke yangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom