Recent content by Kaunga


 1. Kaunga

  Nitajie mti wowote usio anzia na herufi "M"

  Kirukia.... Ficus thonningii
 2. Kaunga

  Msaada: Mchepuo wa CBG Advance utasoma masomo mangapi jumla?

  Basi Applied Mathematics and General Studies
 3. Kaunga

  Nahitaji msaada wa haraka kabla stress haijapanga chumba moyoni mwangu

  Umejibiwa vyema, ukifanyia kazi shauri hapo juu utapona. Nami niongeze kidogo. Ili uweze kusamehe basi acha kujiona wewe victim. Una mchango mkubwa ktk kile unachofanyiwa na unahusika pekee ktk the way una react. Maelezo mengi juu yamejikita ktk the way unavyoreact. Mimi ningependa ujifanyie...
 4. Kaunga

  Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika!

  Magufuli ni chaguo la Mungu. Na ni baraka kwa Tanzania. Tulistarehe mno, tunahitaji haya ili kuamsha akili zetu. Mungu ibariki Tanzania
 5. Kaunga

  Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

  Pole sana Leah, Mungu mwenyewe akufariji ktk kipindi kigumu hiki. Kama ni mpenzi wa movie basi poteza muda kwa movie moja inaitwa The Shack. Itakusaidia sana kiimani. Kama inavyoonekana showbox app au app yoyote unayoweza kupakua movie basi Tafuta "The Shack"
 6. Kaunga

  Je ni Shule gani nzuri ya boarding ya Shule ya msingi ?

  Mpeleke Kaizirege (kemobos) asipobadilika na kufanya vizuri darasani basi tena.
 7. Kaunga

  Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

  Kwa kuwekea mkazo mimba, basi naturally vijana watahakikisha hawapati mimba kwa kutumia moja wapo ya uchafu nilioutaja
 8. Kaunga

  Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

  Akisema kama kiongozi wa shule nitamuelewa, lkn akisema kama kiongozi wa kiroho, mimba haijawahi kuwa dhambi hata siku moja. Ni sawa na kutibu homa na kuacha malaria au infection yoyote. Maana sio infections zote zinaleta homa. Je wasagaji wataadhibiwaje, maana hakuna mimba itakayoonekana. Je...
 9. Kaunga

  Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

  Kwa askofu, mimba ndio dhambi wala sio uzinzi au uasherati. Ina maana, ukitumia condom au madawa ya kuzuia mimba endelea na shule. Ukitoa mimba Sawa endelea na shule Ukifanya usagaji, endelea na shule Ukifanya anal sex endelea na shule Ukiwa mwanaume (huwezi para mimba) endelea na shule...
 10. Kaunga

  DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

  Tulijiandikisha serikali ya mtaa ili iwe rahisi kutandaza bomba kubwa, Huoni kama utaratibu huu ni nzuri kuliko mteja mmoja mmoja kuja ofisini kwenye.
 11. Kaunga

  Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

  Umenifanya nisign in, pls COUNT ME IN.
 12. Kaunga

  Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

  Wamshtaki halafu akiweka wazi ushahidi nani aumbuke? Wewe Pasco wa JF ndio mfukunyuku, ushitakiwe kwa ufukunyuku wako. Nani anataka kwenda mahakamani?
 13. Kaunga

  Ushauri unahitajika: Rafiki yangu kafunguliwa kesi na mke wake

  Huenda housegirl alikuwa anauogesha na kumpisha mswaki ndio maana baada ya housegirl kuondoka akauona uchafu wa mkewe. Maana kama ni vyombo na kudeki wangesaidiana ukizingatia kuna mtoto wa miezi 3. Mmeishi zaidi ya mwaka hujaweza kumuinfluence mkeo kuongeza usafi unategemea kipigo kitambadilisha?
 14. Kaunga

  Ushauri unahitajika: Rafiki yangu kafunguliwa kesi na mke wake

  Huyo rafiki yako angeamka mapema wakati mkewe anahangaika na mtoto akasafisha nyumba ingekuwaje? Di inahitaji mikono 2 na miguu 2 kufanya usafi? Sioni sex organ ikitumika hapo. Halafu angekuwa anamualika mkewe kuoga pamoja haoni kama angembadilisha. Kuna njia zaidi ya moja kutatua tatizo, kupiga...
 15. Kaunga

  Tetemeko: Matendo hukidhi haja, Misaada haijagawiwa

  Kuwa mzalendo for once, kesho kukiwa na uonevu wa serikali kwa wakazi wa Hai watetee hivi hivi kama unavyowatetea kina chonka bojo. Maana nyie ni kati ya watu mnaojitoaga ufahamu kuitetea serikali tulivu.
Top