Je ni Shule gani nzuri ya boarding ya Shule ya msingi ?

Je ni Shule gani nzuri ya boarding ya Shule ya msingi ?

mmmh! jamani!! huyo hata boarding hatakaa watamfukuza hawawezi kuvumilia mtoto wa hivyo.
Mtafutieni za day muwe mnamdhibiti wenyewe, huko asije hata akaanza "mchezo mchafu"

Kweli mwaya na Shule nyingi hawachukui mtoto Mwenye umri mkubwa hivyo wanasema anaweza kiharibu watoto wa Watu, wanasema wanachukua watoto kuanzia miaka 5 nakuendelea imagine, Ila nimesema nijaribu kuuliza humu labda nitapata kujua Kama kuna Shule wanaweza kumkubali nitashukuru sana aisee
 
Mpeleke Kaizirege (kemobos) asipobadilika na kufanya vizuri darasani basi tena.
 
Mpeleke Kaizirege (kemobos) asipobadilika na kufanya vizuri darasani basi tena.

Iko wapi? Nawezaje kupata mawasiliano na wahusika wa hiyo shule? Nitashukuru kwa ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom