Recent content by Katibu Afya

  1. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Naomba namba zako@ pipi jojo
  2. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenye vifua

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania APPEAL

    Pitia ktk website ya HESLB wameainisha vigezo vyao
  4. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Ulipokua shule ya msingi unakumbuka tukio gani ambalo hulisahau?

    Nikiwa darasa la Sita Kamunyonge primary School Musom, bahati mbaya nilimpiga kichwa kitakatifu mwalimu mkuu marehem Nashon Matete kwenye kona akazimia wakati tunacheza mchezo wa kukimbizana na wenzangu. Kilichonipata baada ya ticha kuzinduka ni siri yangu!
  5. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kama mara ya kwanza aliandikiwa "LOAN BREAK DOWN" then now status imebadilika, mwambie ackacheki majina yaliyopelekwa chuo maana yametoka ya aina mbili. Kuna waliopata full mkopo ikiwemo boom na ada na kundi la pili wamepata boom tu. Mdogo wangu pia aliandikiwa mwanzo Loan break down ila jana...
  6. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paka dume huitwaje kwa kiswahili

    Kondoo dume huitwa VURATA
  7. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania (HOT) Njoo Tutengeneze Tongue Twister za Kiswahili!

    Kafa manzese mazishi sinza
  8. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    Chukua mfano huu
  9. Katibu Afya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    Ni kitenzi KISAIDIZI. Sentensi hiyo haijakamilika kwa sababu sifa kuu ya sentensi ni lazima itoe taarifa kamili. Unaposema "wanafunzi walikuwa shambani" sentensi haijakamilika, wapaswa kukamilisha walichokuwa wanafanya huko shambani ambacho ndo kitakuwa kitenzi kikuu.
  10. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari Morogoro, Iringa au Mbeya

    Alfagems Morogoro ni the best na ada ni nafuu kuliko shule zote za Moro ili mradi apige msuli tu cause jamaa hawana utani ukizingua unarudi hom
  11. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Ninaweza kutimiza ndoto zangu kwa kusoma QT?

    Kasome mkuu, mimi pia niliacha shule nikiwa form two, nilikuja kugundua umuhimu wa elimu na kurudi shule kupitia Qt na sasa nipo mwaka wa tatu chuo.
  12. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    Hizo lots ni za freshers au continuous?
  13. Katibu Afya

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo vipi kuhusu continuing taharifa zao mbona kimya hadi sasa

    Kuanzia kesho continuous mnaosubiri majina ya mkopo kaeni tayari tayari
Back
Top Bottom