Recent content by KATASHANKAZA

  1. KATASHANKAZA

    Kukusanya ushuru wa maegesho Siku ya sikukuu ya Maulid Manispaa ya Moshi no sahihi?

    Wadau, nimepatwa na mshutuko baada ya kukuta wakusanya ushuru wa maegesho wametanda mjini wanasumbuna na wenye magari wakikataa kulipa kwa kuwa leo ni sikukuu kubwa tena ya mapumziko kitaifa. Binafsi naona hili ni jipu....hasa kushindwa kuheshimu Sikukuu ya ndugu zetu waislamu
  2. KATASHANKAZA

    Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

    Waislam tunkul nao kuku kwenye masherehe. Kuku hao wanakuwa wamechijwa na wakristo n pengine mwnamke
  3. KATASHANKAZA

    Nabaki na Ukatoliki wangu. Mchungaji ameniogopesha

    Mr. Tanzania, post ya kwanza nilikuona wa maana ila hii uliyotukana mapadre nimekuona so mshauri. Una ushahidi mapadre no Malaya??? Mambo ya kuhukumu kuhusu dhambi mwachie Mungu!!! La muhimu no kuchukua tahadhari kwa Hawa Dada zetu mwanaume haachi kuwa mwanaume kwa kuitwa mchungji, sheikh au...
  4. KATASHANKAZA

    Nabaki na Ukatoliki wangu. Mchungaji ameniogopesha

    If not cheap why didn't you decline the offer?? Mwanaume anakulipia chumba na gharama nyingine unakubali kama si urahisi ni nini? Usitudanganye..... Sema Luna vitu hamkuelewana!
  5. KATASHANKAZA

    Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

    You are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata...
  6. KATASHANKAZA

    Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Ufalme was mbiguni siyo sawa na kupanda daladala! Hiyo ndiyo sadaka. Pia kuwa na watoto huo no ubinadamu kama ilivyo kwa walio kwenye ndoa kuw na watoto nje. Wamejikwaa watatubu na kuendelea na safari takatifu...
  7. KATASHANKAZA

    Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

    Asante mtoa uzi. Sasa sisi waislamu wa Tanzania tumeshindwa mini kuibuka na shule bora kama za wakristo hasa wakatoliki, vyuo bora na hospital bora?? Listing haitsaidia kwa sasa.
  8. KATASHANKAZA

    Hijab kwenye shule za kikristo

    Naomba nisahihishe. Si shule zote zinazomilikiwa na Dini ni seminary! Seminary ni zile shule wanaposoma vijana wanaotaka kuwa mapadre au wachungaji. Seminary kwa kiswahili ni kitaru... Kwa wakatoliki ni kitaru kunakooteshwa mbegu za upadre. Hivyo ni makosa tunaposema Islamic seminary!!!
  9. KATASHANKAZA

    Fursa kwa vijana wenye elimu ya uvuvi

    Wanahitajika vijana wawili wenye ujuzi wa uvuvi wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta ya uvuvi. Tuungane katika shuguli ya uvuvi wa dagaa katika ziwa victoria = ujuzi wao ndiyo hisa zao katika shughuli hiyo. wawe tayari kuishi visiwani wakifanya shughuli ya uvuvi. Sifa wawe na astashahada...
  10. KATASHANKAZA

    Lissu, Mhariri wa Mawio wafikishwa kizimbani leo

    ((Edit your signature...!!!))
  11. KATASHANKAZA

    Diamond amkabidhi Makonda madawati 600 kwa ajili ya shule za jijini Dar es Salaam

    simple mathematics: dawati moja kwa Dar es Salaam ni 75,000. ukizidisha hii mara 600 unapata milioni arobaini na tano (45,000,000/=). Asante sana Diamond. wengine tuige mfano. Tunasubiri na TFF, na vyama vingine vya michezo!!!
  12. KATASHANKAZA

    Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

    "anakojoa hewa"... nimeipenda hiyo... team Gadner angalia msijeumbuka... si ajabu dada huyu si mgumba kama wengi tunavyoamini!!!!! muda utaongea. Ni rahisi kwa mwanaume kulea mtoto asiyewako kuliko ilivyo kwa mwanamke.... Gadner alikosea kila mtu anajua. Tuache yale..."kama uliniona nilikuwa...
  13. KATASHANKAZA

    Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Ungekuwa unamaanisha unachokisema ungelikuwa ulishamalizana na yule aliyelifanyia mzaha miaka kumi iliyopita...
  14. KATASHANKAZA

    Message from Juma Mwapachu

    kama huielewi mbona umejibu?? matusi ya nini?? Lowasakama nifisad si uonyeshe?? Lowasa is our next president. Hatuwezi kumpa mtu ambaye hakuwahi kufikiria kuwa rais.
Back
Top Bottom