Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

Asante mtoa uzi. Sasa sisi waislamu wa Tanzania tumeshindwa mini kuibuka na shule bora kama za wakristo hasa wakatoliki, vyuo bora na hospital bora?? Listing haitsaidia kwa sasa.
Hili swali liwasilishe BAKWATA. More more ! Waislamu wasiridhike na hali ilivyo Muslims can do better.
 
Kikwajuni One bila shaka una mfadhaiko wa mawazo!

Uislam ni imani ambayo mtu unaweza kubadili wakati wo wote bila kuhojiwa na mtu! Lakini huwezi kubadili rangi wala jinsi yako bila watu kuhoji au kushangaa!

Uislam siyo proportional na akili za mtu kwani ingekuwa hivyo na wewe ungekuwa mbali! Hivyo ni dhambi kushahibisha uislam na ugunduzi wao sawa na kushahibisha uislam na ugaidi!
 
Naona makafiri wakabetua stuli? Maana huko shuleni tunasikia kina Newton, Einstein etc. Asante kwa thread mkuu at least nimepata mwanga juu ya michango yao kwenye science.
Kila kitu nyie ni kulaumu makafiri tu. May be ni kwa sababu hata elimu ni yao na inaitwa "Western Education" na wanafundisha wanasayansi wao (tena bila kujali dini zao). Mkikazana kuwafundisha hawa wanasayansi wenu huko madrasa nadhani itasaidia sana badala ya kukaa tu na kulaumu makafiri kwa kila kitu. Badala ya watoto kukariri misahafu na hadithi za mtume tu wakariri pia na safari za akina Ibn Battuta na Tipp Tippu. Itasaidia sana kuondoa mikanganyiko na hii dhana ya kubetuliwa stuli na makafiri wa "Western Education"
 
Dah mkuu povu sana, hata hujui kusoma kwenye mstari. Taratibu kaka.
 
Mastory tu, vitabu vyao viko wapi,mbona vya Einstein vipo
Na scientific laws,theories & principles zao at hand ni zipi, mleta uzi angeainisha baadhi in short. Matabu mengi ya Chemistry (Organic,Physical,Inorganic) Physics( Mechanical hadi Quantum and Nuclear ) nk,sijakutana na majina haya na hiyo miaka. Hawa wengine wamwesikika sana Mf Newton laws of motion 1-3, Eistein"s photoelectric emission and energy E=mcxc.nk
 
Back
Top Bottom