Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

Most Famous Muslim Scientists and Their Inventions

Sasa haowa wansayasi wenu wameleta manufaa ngani kwa ndini yenu!?? Au kuwataja tu hivyo kunatosha ,wezenu upande wa pili wa vyuo na wamezalisha ma .prof ,Dr na wasomi wengi tu but pia na nyie pia mnapata elimu kwenye hizo shule na vyuo vyao ,hivi mngekuwa na vyuo na shule km walizonazo wao c wangejuta ,mm nazani huko Madras mngekuwa mnawafundisha pia na elimu dunia ....Hii imenikubusha cku Dr sheni alipokuwa akifungua chuo kimoja Zanzibar alisema ....ni wakati sasa na watoto wa waislam nao kuchangamkia hii elimu dunia
 
Na scientific laws,theories & principles zao at hand ni zipi,ungeainisha baadhi in short. Matabu mengi ya Chemistry (Organic,Physical,Inorganic) Physics( Mechanical hadi Quantum and Nuclear ) nk,sijakutana na majina haya na hiyo miaka. Hawa wengine wamwesikika sana Mf Newton laws of motion 1-3, Eistein"s photoelectric emission and energy E=mcxc.nk

Sijakuelewa unasema islamic scholars. Ndiyo maana nimewauliza laws etc zao ni zipi
 
Muslim University of Morogoro (MUM)
You are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata Huduma bora kutoka kwao. Mungu hatakuuliza ulitukana wangapi Bali ulitumiaje ujuzi/elimu yako kuwasaidia wangapi??
 
Hoja yangu ni ya kuunga mkono hoja uliyotoa kwa vile naona waliolezwa kama walikuwa historians tu,sijawahi kutana na scientific theory au principle zao

Nimukupata. Kama wangelikuwa kweli wamegundua kama mleta uzi alivyosema zingelikuwa bado zipo and documented. Ni waongo kutaka kujitukuza kama wanavyosema kuwa Yesu alikuwa Mwislamu
 
Tell us in simple language what each of them invented or discovered. eg steamship. The wheel. Fire. Aeroplane. Diesel engine . light bulb etc sio theories ambazo haziingii kichwani
Ukiona haiingii kichwani jiulize tatizo ni nani?? Huenda ikawa pia lugha ni shida
 
You are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata Huduma bora kutoka kwao. Mungu hatakuuliza ulitukana wangapi Bali ulitumiaje ujuzi/elimu yako kuwasaidia wangapi??
Mkuu kwani kafiri ni tusi?
 
Wangekuelewa wewe mambo yangekua mazuri sana....sioni sababu ya malumbano yote haya kwakweli
 
Are the discoveries religious beneficial

Not beneficial but it is important to know, also contribution of other people in the world such as chinese, so that our mind set will be free.

Ata wafrika pia kuna mambo wamegundua ingawa kutokana na poor technology hawakujua jinsi ya kuyaboresha ni muhimu vile vile kufaham, kwa iyo dunia ni yetu sote tumechangia kwa namna moja au nyingine.

Naongea kwa kuweka ushabiki pembeni
 
Hapa ni pa kupita kimya kimya tu. Sijawahi hata kufikiria akina Newton, Maxwell, Einstein, Fermi, Watt, Hertz, Pavlov, Kopernicus, Kepler, Darwin, Mendeleev na magwiji wengine wa sayansi walikuwa wanafuata imani gani. Gregory Mendel (Baba wa taaluma ya Genetics) ndiye pekee najua kuwa alikuwa mtawa wa kikatoliki. Kwa nini unafikiri ni muhimu kuangalia michango ya wanasayansi hawa kupitia lensi ya dini zao?

By the way, naona umemsahau Tipp Tippu ambaye ni msambamba mkuu wa Ibn Battuta kimtazamo na athari zao kihistoria hasa kwa watu weusi zinashabihiana. Otherwise kazi nzuri ya ku copy na ku paste..

By the way hawa wanasayansi waligundua walichogundua kwa sababu ni Waislamu au wangeweza kugundua walichogundua hata kama wangekuwa wafakamia kitimoto? I guess what I am asking is: Uislamu wao una uhusiano gani wa moja kwa moja na ugunduzi wao wa kisayansi (and vice versa)?
Duh!! You are a philosopher indeed, umehoji kisomi na kwa upeo wa nje ya box.
 
Naona makafiri wakabetua stuli? Maana huko shuleni tunasikia kina Newton, Einstein etc. Asante kwa thread mkuu at least nimepata mwanga juu ya michango yao kwenye science.
Usijali, Kwa maana wanaitwa Famous Muslim Scientists, historia yao inapaswa kusomwa madrasa tu. kwa maana hao wakina Newton, Einstein etc nao wangeitwa Famous Christian Scientists, historia yao nao ingefundishwa Sunday school tu. Lakini kwamaana hao kina Newton hawatambulishwi kidini, we wasome tu, hakuna namna.
 
Kila kitu nyie ni kulaumu makafiri tu. May be ni kwa sababu hata elimu ni yao na inaitwa "Western Education" na wanafundisha wanasayansi wao (tena bila kujali dini zao). Mkikazana kuwafundisha hawa wanasayansi wenu huko madrasa nadhani itasaidia sana badala ya kukaa tu na kulaumu makafiri kwa kila kitu. Badala ya watoto kukariri misahafu na hadithi za mtume tu wakariri pia na safari za akina Ibn Battuta na Tipp Tippu. Itasaidia sana kuondoa mikanganyiko na hii dhana ya kubetuliwa stuli na makafiri wa "Western Education"
Fuatilia historian vzuri uone kuwa Western education Na philosophy zilitokea wapi kabla hujaanza kumeza propaganda.Wote hawo wakina Aristotle Plato walijifunzia misri Na maeneo ya Iran.
 
Fuatilia historian vzuri uone kuwa Western education Na philosophy zilitokea wapi kabla hujaanza kumeza propaganda.Wote hawo wakina Aristotle Plato walijifunzia misri Na maeneo ya Iran.
We nawe! Sasa Wamisri wa kale walikuwa Waislamu? Hata kama akina Plato walijifunzia huko na walifundishwa na Waislamu huko Alexandria SO WHAT????????????????????
 
Back
Top Bottom