Fursa kwa vijana wenye elimu ya uvuvi

Fursa kwa vijana wenye elimu ya uvuvi

KATASHANKAZA

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
81
Reaction score
28
Wanahitajika vijana wawili wenye ujuzi wa uvuvi wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta ya uvuvi. Tuungane katika shuguli ya uvuvi wa dagaa katika ziwa victoria = ujuzi wao ndiyo hisa zao katika shughuli hiyo. wawe tayari kuishi visiwani wakifanya shughuli ya uvuvi. Sifa wawe na astashahada (cheti) kutoka chuo cha uvuvi (wakutoka Nyegezi watafikiriwa zaidi), umri miaka 24 - 30!. mawasiliano 0627 024 157
 
Back
Top Bottom