Recent content by kataleya

  1. K

    JamiiForums Tanzania NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    Mi nimepigiwa simu mara mbili kutoka nssf ila wanadai namba yangu ya sim ni ya rashid..sasa wanamtafuta huyo rashid..sielew imekuaje wachanganye namba yang na rashid au ndio nilimfanyia mtihani huyo rashid...nssf mnanichosha
  2. K

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Nssf sidhani kama kuna udini,wanaoajiriwa pale ni either uhonge au uwe mtoto wa mkubwa fulani..field tu hupati kizembe ni mpaka uwe na mtu wa kukusaidia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    Mavota umeona comment ipi nimezungumzia udini?au umependa tu kunitusi?God bles u
  4. K

    JamiiForums Tanzania Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    Hawajasema wanataka watu wangapi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serengeti fiesta 2014 special thread

    haya mumemzomea diamond...tusubiri tumuone huyo alikiba kama ataweza kupenya kimataifa na kuwa nominated katika tuzo kama BET&MTV....watanzania huwa mnaroho ya uchoyo.,hampend mafanikio ya mtu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lulu: Bongo movie ishabuma, nimeamua kurudi shule

    ili usome certificate lazma uwe na D 4
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lulu: Bongo movie ishabuma, nimeamua kurudi shule

    D mbili na F zote..haha afu eti anasoma certificate...haha kweli mwenye nacho anaongezewa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme anahitajika haraka

    0717289820 wasiliana na huyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

    wao na vizazi vyao wanaajiriwa ila sisi tusio na mitaji eti tujiajir mmm
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    haahhaahh
  11. K

    JamiiForums Tanzania Means testing Inamaana gani?

    yan ni kitendo cha kupimwa hali yako ya kifedha ivi wajue kama uko unastahili kupata msaada au la
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wassira at 45 Minutes: Mivutano Bunge la Katiba ndio uimara wake.

    haha yan ukimwangalia wassira unaamin kabsa kua binadam ametokana na nyani...hahaha
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    nahisi ubongo wako umeoza...nakushauri uende kumwona daktari wa akili mapema kwa matibabu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    dini ni imani ya mtu...kuhusu kua na PHd ni bwebwe tu hata hazimuongezei credit kwa Mwenyez Mungu...kwahy mi naamni ninachoamin,siwez fuata maneno ninayoona hayaendani na imani yangu...kamwe siwez unga mkono ushoga
Back
Top Bottom