hahaha kwl hko ni kituko aisee ss si bora uwende hq usiondoke mpk kieleweke.
rfk angu kapigiwa simu jana leo kafanya oral!!intrvws znaendelea hadi jmos hzo ndo taarifa nilizo nazo
kwanini hawatoi kwa uwazi majina ya waliofaulu kufanya oral interview? their internal audit commitee is useless there! mianya ya magumashi hayo
yah wameita kuanzia alhamisi hadi j1 na mpaka jana wamewafanyia oral interview watu 30 ila kama haujaitwa subiri mana kuna bach ya pili.
. Hakuna tetesi Harpo mdau nawalio itwa baafhi hat a interview yakwana naya pili hawakufanya hapo chachaWadau bado cjaelewa kwmba bado ni tetesi au kuna aliyeitwa kwel kwwnye interview ya opperations officer?
. Hakuna tetesi Harpo mdau nawalio itwa baafhi hat a interview yakwana naya pili hawakufanya hapo chacha
Kati ya walioitwa hakuna mwana jf akaja hapa kueleza ukweli wa mambo?