Recent content by Kastoryalfred

  1. K

    Hivi kwanini wanawake wengi huonesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

    Kwa sababu wachungaji wanawapatia hao wanawake muda mwingi kuliko wewe mume wake
  2. K

    Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Wee hutak kwan mwanamke mthungu[emoji846][emoji846] just jokes
  3. K

    Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Kwani mi natumia halotel ya Kenya au mbona wananiambia 1000 ni 490MB Kwa siku Saba iyo 1GB ipo wap
  4. K

    Salamu kwa 1st year.

    Ulivyoandika utadhani wewe umemaliza vitu vyote
  5. K

    Sitaolewa na mwanaume asiyesafiri mara kwa mara. Never.....!

    Nahisi ndo mana anamchukia mkewe Sio buree
  6. K

    Sitaolewa na mwanaume asiyesafiri mara kwa mara. Never.....!

    You are dreaming my friend, You should wake up now
  7. K

    Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Lenye mwanzo lazima lina mwisho wake Na hakuna marefu yasiyo na ncha Omba tu mwisho wake usiwe wa aibu mpaka ukataman kujiua!!! Alafu mke wako ni mbaya kiasi hicho mpaka unafanya mapenzi na mke wa watu anayeolewa siku ya harusi, kwanza umemdharau sana mkeo, Aisee mi nakwombea kabisa mwisho wako...
  8. K

    TBC wanashindwa Nini na ZBC?

    Wanaboa kinyama yaan Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Udalali(ukuwadi) wa wanawake ni biashara ya madada wa mjini

    Hahahahah, unajikuta tu umewekwa mtu kati!! Kiutani utani tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Amsho la mpenzi

    Haya nayasomaga kwa hadithi za gazet na kuyaona kwenye tamthilia tu! Sijawah kufikilia kuyapata na wala sitarajii kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Unahisi kuchoka kwake kuabudiwa, Ingekuwa sawa na mamizigo ya dhambi yanayotokea saiz baada kuruhusu kuwepo kwa dhambi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Ninavyojua kwenye bible sikumbuki ni wapi kitabu gani, panasema , usimwogope mwanadamu anayeua mwili pekee Bali Mwogope Mungu anayeweza kuangamiza roho na mwili. So kwa kadri ya maandiko Mungu anauwezo wa kuangamiza roho. And haijarishi ni binadamu au shetani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Baada ya wanaume kuwasema sana wanawake etii no wife material, Hatimaye Leo kwa niaba ya wanawake wengine umewalipa kisasi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Diamond platinumz anahukumiwa kwa Social media

    Na pia ana busara Sana ndo maana amemwacha na mama ake aende msibani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom