Only in Africa
pakaywatek, post: 17716709, member: 266468"]Ni kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya north mara imeanza kulipa kodi kwa serikali baada ya miaka 16 ya uchimbaji.
Hata hivyo pamoja na Acacia kuanza kulipa kodi, inaidai mamlaka ya mapato (TRA) dola za kimarekani 120 milioni...
Kwa mwenye kuhitaji shamba maeneo ya dakawa ninazo heka15 nauza kwa mwenye nia ya kunua tuwasiliane mojakwamoja 0719508800 na heka moja ni 1m haipungui hakuna dalali hapa unadili na mimi mojakwa moja
Asee hivi inakuwaje kwa sisi wakazi wa kigamboni kwani kuna jamaa wengi tu wamejenga bila kibali na ukizanagatia zoezi la serikali kusitisha muendelezo wowote katika aridhi za kigamboni na mjimwema je watawavunjia nyumba wananchi waliojenga kwenye mashamba yao
Hapo kina sehemu yamefanyika makosa labda ungetuambi wapi umekosea. Mana ukisema umevuna gunia 105 ttu kwa heka Sita haniingi akilini naamini kabisa kuwa Kuna kosa la usimamizi tu
Uwiiii wasalama twafa mbona mbona hili gunia linaumiza sana debe 10 kwa laki wakati debe6 kwa 72 mhhh jamani mjiangalie mtumwenyewe huyu kila swali anajibu la kirahisi tu
Asa we vale kwani uliwahi kuona katika maandiko matakatifu imeandikwa mwanaume asiwe na mwanamke mdogo kiumri au mwanamke asiwe na kijana kijana mdogo zidiyake kiumri hiyo ni uamuzi wa wawili QUOTE=Jawilat;9617244]Linanikwaza sana hili jambo.
Kabla hamja jibu kitu hebu mrudi katika maandiko kwa kila mwenye imani haijalishi dhehebu hakuna maneno laana iliyo kemewa kama.kutoa siri ya ndani asa kama mungu amekemea na kuita ni laana asa kitugani mnacho taka kujadili na jambo lipo wazi na hii tabia ya kutoa siri za ndani waafrika tumeitoa...
Kachemka huyo tatizo letu wabongo hatutaki kufata taratibu za ufundi tunataka tu kuuza bila kufanyia majaribio product tunazo zalisha ili kujua kiwango chake nashauri tufanye uchunguzi ili kuwa na product bora tengenezeni mashine hata mkazitoa kwa bei ya promotion kwa watu wenye mashamba ya kuku...
Mhh nijuavyo mimi vikoi huvaliwa na kina babu wakiwa wamepumzika baada ya shughuli za mchana kutwa sasa huku tena sijui vimefata nini? lakini mkama ni tangazo basi Mod wapeleke mahala pake
1Southafrica
2Egypt
3United Republic of Tanzania
Kama hamfaha habari ndohiyo najua mtadhihaki sana lakini habari ndo hii wawe division 4 au 0 hiyo ndivyo ilivyo
Kipokola kumbe wewe ni msouth niltaka kukurupuka lakini baadae nikapata sehem umesema hata huku south tumebaki dom tu, bakia hukohuko kwa makaburu usituongelee pumba hapa kinachongelewa Tanzania lazima uzalendo utumike sio lele mama sisi wote humu tuna siasa tofauti lakini linapokuja swala la...
Wakuu naswali kwanini wanyarwwnda walete uzihuu kwenye fom ya tanzania inamaana rwanda hakuna fom?
Amabayo wanaweza weka uziwao utakawajumuisha wanyaru na nndio wanaotakiwa kuunagana pamoja ili kufaniksha azamayao sioni kama sahihi huu uzi kuwepo JF tayari rais wa rwanda ana chuki na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.