Je unataka kulima na upate faida?

Magunia 10 ya mahindi utapata millioni je gunia moja ni Tzs 100,000/= bei ya wapi, kwa Tanzania gunia haizidi 60,000/= hadi 72,000/=

nazungumzia gunia la debe 12 mkuu, yaani kilo 240
 
ekari 15 mahindi unaweza kulima kwa sh ngapi?

Kaka nakupongeza sana kwa huu ubunifu wako ambao ni mzuri sana.Ni wazo zuri sana.
Tuumize vichwa kubuni miradi na kuacha kulamikia serikali ambayo hujui hata unaweza kuipata wapi.
 
nazungumzia gunia la debe 10 mkuu, yaani kilo 200
Uwiiii wasalama twafa mbona mbona hili gunia linaumiza sana debe 10 kwa laki wakati debe6 kwa 72 mhhh jamani mjiangalie mtumwenyewe huyu kila swali anajibu la kirahisi tu
 
mkuu hebu funguka zaidi, wewe ni mtu mmoja au ni kiongozi wa kundi fulani? sipati picha upate kazi hai, nyingine, morogoro, nyingine lindi, hapo hatujazungumza ya bukoba kama sio kigoma, utajigawaje maeneo yote hayo. inanipa mashaka kuamini unachokisema kama kweli unamaanisha, isiwe umejisahahu ukidhani leo ni April mosi?.
 
mkuu hebu funguka zaidi, wewe ni mtu mmoja au ni kiongozi wa kundi fulani? Sipati picha upate kazi hai, nyingine, morogoro, nyingine lindi, hapo hatujazungumza ya bukoba kama sio kigoma, utajigawaje maeneo yote hayo. Inanipa mashaka kuamini unachokisema kama kweli unamaanisha, isiwe umejisahahu ukidhani leo ni april mosi?.

hapo pia nina mashaka km n mmoja!embu jaribu kutafakari misimu yakilimo karibu maeneo yote tz yanalingana nakipindi chakulima nakupanda amejigawaje?km unashamb moro then kuna shamb lingne moshi then kunashamb lingne mbeya hapo atajigawaje?labda wawekundi.tatzo lingne maeneo meng tz kuna uhaba wa matrekta kipindi chakulima je yy atafanyaje ili aendane na msmu vizuri bila kuchelewa? Sbb ana mashamb makubwa yawatu mbl2 maeneo tofouti na mikoa tofouti.hapa iko shda,sijamwelewa kabisa aje atoe ufafanuz
 
Hapa watu soon wanalizwa nimeona hiyo dalili hahaha jamaa anajibu maswali simple simple,alafu anasema unanipa hela zote za Ekar 10 hahahah hapa bado hajanishawishi hata chembe aiseeeee

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu kama mimi sijui ntapata wap shamba zuri kwa kilimo unaweza nitafutia tufanye kazi' mi ukinitapeli nakutoa duniani kwa ndumba tu ndio silaha yangu kubwa' nipo kibaha pwani.
 
Back
Top Bottom