Recent content by kasongo abisina

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri BMK, Ndiyo Maana Huwa Siwaamini Sana Wanawake

    Nadhani anamaanisha zaidi ule ushangiliaji ulioonekana. Infact wanawake walio wengi hasa viti maalum huwa wapiga makofi,wazomeaji na waitikiaji wa ndiyoo!
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIV inanitesa

    Usijali. Ni hali ya kawaida. Usiache kuchek CD-4. Ishi maisha safi. Epuka msongo. Epuka safari ndefu. Kula vyakula vyenye mafungu matano ya vyakula. Fanya mazoezi. HIV+ SI MWISHO WA MAISHA.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

    Wanaotega, hawasemi. Hufanya kimya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA na Warioba kubalini matokeo, tuipigie wote kura ya ndiyo. The End Justify The means

    Hivi umeajiriwa kumfanyia kampeni?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haiwezekani nataka kupima DNA nimestuka!! Wanangu hawajafanana na mimi

    Si lazima. Kumbuka baba anaweza kuwa A na mama B mtoto akawa O. Hii ni kawaida kwani urithi wa vinasaba huweza kutojea hadi vizazi 5 kurudi nyuma.
  6. K

    JamiiForums Tanzania wahaya na vyeo vya misifa

    Wanathamini na kuzipenda kazi zao!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo kamchapa Raila Odinga viboko.Picha & Video

    Alijuaje kuwa atacheza na mkewe hadi akaingia na kiboko? Mie naona kama alishajiandaa. Alijua nini anaenda kufanya.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kyela asimamishwa kazi baada ya kufumaniwa na mkewe

    We mwenyewe umefanya kama huyo mke. Kitendo cha kumwanika Mh.Magh... pia ni kumwaibisha. Heri huyo mke alifanya kwa hasira. Wewe je,kilikusibu nini? Wewe ni mbaya zaidi ya huyo mke. Au ulikuwa na lako jambo?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba A
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongera KBC: Wasanii Tanzania bure kabisa

    Hata kama mtu hujasoma Fasihi. Hakuna kitu bongo. Uigizaji inabidi tujizatiti. Labda vikundi viombe msaada kwa wataalam wa UDSM.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hongera KBC: Wasanii Tanzania bure kabisa

    Shida ya waTz. hudhani mapenzi tu ndo jambo linaendelea ktk jamii. Tamthilia nyingi zinahusu mapenzi. Wanapenda kuiga mambo ya nje. Hawajui waTz. wengi wanachukia uvaaji wa nguo fupi, za kubana nk. Pia wanatatizo la kuongeza chuku-over exagaration. Kweli wanaudhi! Michezo mizuri ni ile...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Godoro gani zuri?

    Tanfoam ni permanent. Hutajutia pesa yako. Usijali matangazo kwani kibaya chajitembeza na chema chajiuza! Usijali bei.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siibiwi kweli?

    Kwa vyovyote vile, anakuzunguka. Anajua huna ubavu wa kumuacha maana unampenda kupita kiasi. Jitahidi kumsahau, na uachane naye. Atakuendesha sana.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu katembea na msichana inayesemekana ameathirika

    Mwambie tu. Ukishindwa, mpe mtu aongee naye simuni. Aanze kwa kumpa ushauri kwanza kidogo tu. Kisha amwambie awe chonjo na mpenzi wake. Mshauri apime na kuchukua hatua.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dokta Kasema Mwili Una Damu Nyingi

    True! Hutokea.
Back
Top Bottom