Pole sana kwa yote haya JF inapitia na wewe kama Mkurugenzi wake.
It's so sad nchi inapita katika hii trajectory upande wa uhuru wa habari, Haki, usawa wa kidemokrasia nk.
We encourage you to stay focused while at the same time take all precaution about your safety, it's a matter of time...
Story za magazeti hizi, Israel mpaka unaona inafanya strike ya namna hiyo hizo hesabu zoooote unazojua zilishafanyika.
Qasem Soleimani was killed in air strike inside Tehran by so called US Army, lakini ukwlei walikuwa wanatekeleza interest of Israel.......Iran ili vow kulipiza kisasi kisicho...
Kimsingi huu si waraka unaopaswa kuwa siri kwa sababu huo ni muongozi tu kwa wadau na wazazi kuweza kupanga ratiba zao vizuri....
However tayari nimeshaupata nje ya JF hapa, nita share na wengine wenye uhitaji basi waupate.
Habari wadau wa JF,
Kama mmoja ya wazazi na wadau wa elimu pia, nimejaribu kutafuta huu waraka mpya ambaoo umetolewa novemba 22, 2023 na wizara ya elimu bado sijafanikiwa kuupata.
Nimechungulia kwenye website ya wizara husika, hakuna, taasisi zingine zinazo fanya kazi kwa karibu na wizara...
We jamaa nilitaka kutumia lugha ngumu sana kujibu hoja yako lakini nimetafakari kidogo na kutaka kujua yafuatayo kabla ya kutoa majibu;
1. Umri wako ni upi?
2. Una exposure kiasi gani katika maisha ya kawaida
3. Imani yako je? Ni kama dada yako anaolewa na mtu anaesubiri sadaka, i assume wewe...
Mkuu Nathaniel, binafi kwanza nikupongeze kwa wazo zuri sana na mapendekezo yako. Ukweli nilishatoa wazo la namna hiyo kwa Tanesco, kupitia Mkoa wa Ki-Tanesco lakini pia kupitia media mbalimbali kama hizi, lakini zaidi ya maoni nimeshuhudia kwenye maonyesho ya sabasaba mwaka 2020 nimeshiriki...
Hbari waja-Jamii Forum,
Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira.....Hilo ndilo somo kuu hapo....Kwani hata kama angekuwa mbwa amewaua au kuwala, bado Kwa kumuua asingewarudisha watoto.....alikosa uvumilivu kidogo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu, banafsi suala la Kilimo ni moja ya malengo makuu makubwa niliyo nayo. Hongera sana mkuu kwa hatua kubwa hiyo, maana unaposema 'Umeheshimika maana yake ni kubwa sana, kwa mtu anayejua"
Hongera sana.
Habari zenu wana-Jamiiforum,
*HISTORIA FUPI*
Nimekuwa na ndoto ya kuanzisha biashara ya kudumu (Ya kitaasisi) kwa muda mrefu sana, na ndoto hii ilianza tangu nikiwa kidato cha sita miaka ya 2000.
Moja ya vitu ambavyo nimewahi kujaribu na kwa sehemu flani nilifika hatua flani ambayo si ya kuita...
Mkuu kwani sheria za kazi zinasemaje juu ya unfair termination?
Je katika mazingira hayo,je hudhani kuna haja ya kuzua aina ya mkataba wenyewe ni ipi?
1. Fixed term Contract-Ina maanisha nini kwenye masuala la mikataba ya ajira
2. Automatic renewal inatokea wakati gani?
Maswali mengine ya...
Pumbavu sana, nadhai familia inapaswa kupewa msaaa wa kisheria hapa. Wote walioshiriki kuweza kuchukuliwa hatua, kwani "Jinai" huwa hai-expire. Lakini zaidi ya hapo, most guys hapo UDSM never been gentlemen...Kuna mmoja anadai alishuhudia Binti akimeza vidonge vile na hakuchukua hatua kisa yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.