Waraka wa elimu Na. 3 wa mwaka 2023 kuhusu kalenda ya mihula ya masomo kwa shule za awali, msingi na sekondari kwa mwaka wa 2024

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wadau wa JF,
Kama mmoja ya wazazi na wadau wa elimu pia, nimejaribu kutafuta huu waraka mpya ambaoo umetolewa novemba 22, 2023 na wizara ya elimu bado sijafanikiwa kuupata.

Nimechungulia kwenye website ya wizara husika, hakuna, taasisi zingine zinazo fanya kazi kwa karibu na wizara husika kama NECTA nako hakuna.

Hivyo kama kuna ambaye anayo anaweza kunisaidia pia. Naweza kum-dm anipatie kwa njia ya email, whatsApp au njia ambayo itakuwa rahisi kwake.

Asante.
 
Hizi nyaraka huwa serikali inazichulia kama SIRI lakini tusubiri wenye huo waraka waje. Nina imani kuna watu wanao.
 
Kimsingi huu si waraka unaopaswa kuwa siri kwa sababu huo ni muongozi tu kwa wadau na wazazi kuweza kupanga ratiba zao vizuri....

However tayari nimeshaupata nje ya JF hapa, nita share na wengine wenye uhitaji basi waupate.
 

Attachments

  • MIHULA WADAU WA ELIMU NEW 2024.pdf
    770.4 KB · Views: 10
Back
Top Bottom