Recent content by kasingo

  1. kasingo

    JamiiForums Tanzania Tunasambaza Vifaa vya ujenzi

    Mkuu mimi naomba kujua bei ya gypsum
  2. kasingo

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa

    Weka japo bei yake ila hat mtu akipiga anatoa oda tu hii itasaidia kupunguza usumbufu usio wa lazima
  3. kasingo

    JamiiForums Tanzania Brand new External HD 1TB....160000

    Chukua 120 tufanye biashara
  4. kasingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na Style Mpya ya Kibuti cha Kufunga Vioo/Kula cobis/Kuchuna!!!!!!!!!!

    Ahahahha!hiyo inaitwa kibuti cha kidigitali zaidi
  5. kasingo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotembelea Kigamboni. Mnamfahamu askari huyu?

    Namkubali sana huyu jamaa sio wale mgambo wa suma jkt full kunyanyasa raia ambayo ndo tunawasababishia wapate mishahara
  6. kasingo

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu wapya wenye shahada haya hapa

    Kazi kwenu wadau kwa mliobahatika kupata ajira hizi hongereni sana
  7. kasingo

    JamiiForums Tanzania Hatujui kutengeneza matangazo lakini!

    kuna lile la Startimes la marehemu Kanumba linanikera sana jamaa anacheka cheka tu
  8. kasingo

    JamiiForums Tanzania Kupima macho

    Kuna sehemu nyingi za kupima macho unaweza kwenda pale Ilala bunguni au Maeneo ya Clock tower
  9. kasingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Jinsi ya kupata colin drury instructor manual

    Wadau naomba msaada wa kupata instructor manual ya colin drury kama kuna mdau anayo ya soft copy naomba anitumie kwenye email yangu kasingotz@gmail.com
  10. kasingo

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata kitabu

    Wadau naomba msaada wa kupata instructor manual ya colin drury kama kuna mdau anayo ya soft copy naomba anitumie kwenye email yangu kasingotz@gmail.com
  11. kasingo

    JamiiForums Tanzania Je ulipokuwa mdogo ulitamani kufanya kazi gani ukubwani?

    kwa kweli wakati niko primary nilitamani sana kuwa polisi au Mwalimu lakini baadae nilipopata akili nikagundua ningepotea
  12. kasingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa internet inayouzwa bei nafuu sana.

    Nokia E-71
  13. kasingo

    JamiiForums Tanzania natafuta used mini laptop hp/dell/accer/samsung/toshiba

    kama upo dsm nenda k'koo mtaa wa uhuru unapata hiyo ya samsung mpya unapata kwa laki nne na nusu unapewa na guarantee mwaka mzima
  14. kasingo

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

    kaka mi nimejaribu 570 napata EATV tena haina sauti
  15. kasingo

    JamiiForums Tanzania Boss wako akikuudhi unamfanyaje?

    Yaani ukikutana nae unatabasamu kidogo alafu kimoyomoyo unasema ungejua nilivyokutukana nahisi ungelia
Back
Top Bottom