Hatujui kutengeneza matangazo lakini!

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kwa kweli Wtz hutujui kutengeneza matangazo ya biashara lakini nimeliangalia tangazo la Simtank ambalo limemshirikisha mchekeshaji Ramadhani Mwinshehe 'Kingwendu' kwa kweli nimelikubali pamoja na kasoro zake chache. hebu nawe sema chochote kuhusu hili au macho yangu yana makengeza!
 
Hata haujakosea .......
 
kuna lile la Startimes la marehemu Kanumba linanikera sana jamaa anacheka cheka tu
 
haaa matangazo hatujui kuna lile jamaa anatembea na godoro juu ya gari yani linakera matangazo hayana ubunifu.
 
mie nalichukia lile la Aietel Wamekata sipendi hata kulisikia

Hasa yule mdada anaesema nanukuu 'Nimetumiwa mchango wa HARUSI yangu wamekata'. Hivi dada huwa anapewa mchango wa harusi au ni kaka?! Naomba kukosolewa.
La Kingwendu nalo duu huwa sitamani hata kuliangalia!
Tangazo lenye mashiko angalau ni lile la TUKO WANGAPI tulizana.
 
Hahaha kuna lile la startv nivute kwako niwe wako milele.......... yule jamaa anayetafuna mali ya umma na kisha kupoteza ushahidi
 
Hasa yule mdada anaesema nanukuu 'Nimetumiwa mchango wa HARUSI yangu wamekata'. Hivi dada huwa anapewa mchango wa harusi au ni kaka?! Naomba kukosolewa.
La Kingwendu nalo duu huwa sitamani hata kuliangalia!
Tangazo lenye mashiko angalau ni lile la TUKO WANGAPI tulizana.

mayb ni send off
 
tangazo ni lile la zantel epic nation bana......hawa wengine wanachekesha tu

Umesema Scofied.Tangazo la 'kitoto chazaliwa' la epic nation zantel linaingia akilini mwangu. Mengine meengi ni makelele tu ya kuudhi! Kuna moja yaani hata taarifa ya habari inakatizwa kuonyesha tangazo lisilo na ladha hata kidogo. Eti 'wajanja' na hakuna ujanja wowote unaoonekana.
 
Last edited by a moderator:
halafu wakimweka kibonde kwenye tangazo wajitahidi asicheke maana yale meno watoto watahisi anazungumzia kilimo kwanza sababu yapo kama majembe.
 
Hebu tuwekee kama iko link yake, wengine hatunaga hizo TV majumbani
 
Back
Top Bottom