Kwanza huenda ni askari fake huyu.Akipandishwa cheo atakaa ofisini atakua mtu wa kusema uongo na kunywa juice mezani..bora akae field hapo hapo...
kwa huo urefu-lazima atakuwa Mnyarwanda au M23Kwanza huenda ni askari fake huyu.
Wabongo wamezoea uvivu na kutofanya kazi na kuipenda ndio sifa.Wabongo tunakuwa wavivu mpaka mtu akiwa anachapa kazi tunamuona kichaa?
Nakumbuka kuna siku nilikuwa navuka pale feri, wakati naelekea kupanda kivuko kikawa ndo kinaondoka.
Nika assess risk nikaona sio safe kukimbilia na kukirukia nikaamua kupunguza mwendo na kusimama.
Ghafla huyo askari akanikimbilia na kunifokea kwa makelele ya juu '..kimbilia weeee...iwahiii..' yaani nikiwahi kivuko na kukirukia.
Sikumjibu, nikasimama tuu, akazidi kufoka kwa sauti ya juu zaidi. safari hii akabadili kauli yake."..Usikimbilie weee utaumiaaa.."
Ikabidi nimwangalie mara mbili mbili nikawa na wasi wasi na afya ya ubongo wake.
Ila anajituma sana.
anajitumaje mkuu!ni kipi hasa anacho kifanya hadi useme anajituma!...Ila anajituma sana.
Mkuu sidhani. kwa jinsi alivyobadili kauli ndani ya sekunde cahche tuu utafikiri si yeye! ilinipa mashaka na mahesabu yake.Yule anapiga hesabu za calculus kama computer, pale alipokwambia "kimbilia" ungekimbilia ungekiwahi kivuko.
Mkuu sidhani. kwa jinsi alivyobadili kauli ndani ya sekunde cahche tuu utafikiri si yeye! ilinipa mashaka na mahesabu yake.