Recent content by Kashaija72

  1. Kashaija72

    Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

    Lakini wao wanatumia zaidi mafuta ya zaituni (olive oil) ambayo sisi huku ni wachache wanayamudu.
  2. Kashaija72

    Wakuu nimfanyeje huyu kiumbe?

    Hahaaaa Ulishatuma na nauli?
  3. Kashaija72

    Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

    Unaambiwa hata ujio wa magari ulitisha na kuogopwa. Mpaka zikawekwa sheria kali, mojawapo ni mtu aliyeshika bendera kutangulia mbele . Hatuwezi kuzuia mabadiliko, la msingi ni kujifunza namna ya kufaidika na mabadiliko (kuwa upande wa kufaidika) Wakati wewe unaona watoto wakipiga fimbo makaburi...
  4. Kashaija72

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Dr wa ukweli mradi wako unaendeleaje
  5. Kashaija72

    Je, unaweza kutambua video zilizotengenezwa kwa AI? Shiriki kuthibitisha video hii

    Hivi Mwl.RCT hizi TV/screen (nadhani ni foldable) kuubwa zinawekwa kwenye maonesho ya wazi na makanisani (makanisa ya manabii na mitume); 1. Zinafanyaje kazi (connection mpaka video itokee kwenye mgu-screen 2. Bei zake, nazo zina zinatofautiana inches??
  6. Kashaija72

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Hahaaaa. Ni mbegu zimeboreshwa. Wananchi wengi tu wa Mara wanazinunua. Mbegu za Muhogo sio za kununua kila mwaka. Akinunua mara moja miaka mitatu inayofuata anakuwa anapanda hizohizo
  7. Kashaija72

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Kwa sasa ni bora kutumia mbegu zenye ukinzani mkubwa kwa magonjwa. Matumizi ya pembejeo bora yanaweza kukupa matokeo bora. Pia inapaswa kufanya ufuatiliaji shambani, uonapo wadudu kwenye mimea unatafuta dawa au kung'oa miche iliyoathiriwa. Kilimo kama uwekezaji mwingine kuna faida na hasara...
  8. Kashaija72

    GE2025 Luhaga mpina aungwe mkono ili wahuni wa CCM wadhibitiwe kama hayati Magufuli alivyokuwa amewadhibiti

    Hivi Katiba inasemaje kuhusu idadi ya waliopiga kura vs waliotakiwa kupiga kura (quorum)? Yaani mfano: waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 18, je ni kura kiasi gani/asilimia ngapi ya wapiga kura inaruhusiwa kupitisha mbunge na Raisi?
  9. Kashaija72

    GE2025 CCM yakanusha matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530

    Tatizo lipo police, kwa nini traffic police hawayakamati, kubandua na kutoza fain.
  10. Kashaija72

    Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

    Mashine nzito. Kama Uchumi unakuruhusu (kununua na kuihudumia), likaribishe home. Umeuza eneo, ukapata hela, unataka ununue bigger liability nyingine (umesema gari unayo) badala ya kupanua empire yako kwa kununua maeneo mengine mengi/makubwa zaidi ya ulilouza!
  11. Kashaija72

    Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa Mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga

    Inategemea na eneo. Shamba la kwenye irrigation scheme ni ghali sana. Kuna tanbarare za nje ya irrigation unakodi kati ya 50,000 na 200,000. Ila ndio hivyo mvua ikiwa nyingi ni hasara kwako. Wilaya ya Mbarali na Chunya bonde la Rukwa; Rujewa, Madibira..... Ila ujue kwamba mpunga haustawi Mbeya...
  12. Kashaija72

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Mungu asaidie naweza kufika. Pia ukifika mwezi November tujadili mbegu, dawa, mbolea, chokaa halafu tuone mwaka unaokuja kama hao mealybug wataathiri
Back
Top Bottom