Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,147
- 43,079
Huo ndio ukweli halafu vijana kuna dipresheni za kujitakia tu kama huyu mleta uzi kama siku 5 zilizopita aliandika uzi wa makasiriko kuhusu members wa JF akakugusia nadharia hewa. Eti humu wanaonekana high profile kumbe Kiuhalisia sio sasa uzi kama ule unamuonesha kabisa ni mtu aliyeshindwa kuhandle dipresheni zake 😂Kabisa kaka naunga mkono hoja 😂 😃